Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.

Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji

Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake

Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being

Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.

Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.

Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.

Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Now ndoa yangu ni kama majirani..
.
 
Ndoa ni nzur kama umeoa mkeo, au umeolewa na mumeo, kuna watu wameoa watu ambao hawakupaswa kua pamoja, ninaamin ndo inaweza kua nzuri kama kila mtu atafahamu nafasi yake kwenye ndoa, mume ajifahamu kua yeye ni mume hata kama hana hela, hata kama hajalewla, kuna mtu mpaka awe na fedha ndo furaha inakuwepo nyumbani!
Mim mwaka wa 10 huu, tunagombana, tunapatana, lakini mwisho wa siku tumeweka makubaliano na mwenzangu kwamba hakuna kulala na kinyongo/sumu, tukigombana basi mmoja wetu atajipendekeza mpaka tutapatana hata kama ni kwa unafiki ila tukiamka asubuh ni siku nyingine yameisha!
I like that...hata kwa kujipendekeza ni vizuri watu wakigombana wapeane nafasi ya kusuluhishana. Naiga mfano huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20190709_042355.jpeg
 
demi jana sijalala..hahaa had saa6 ananitxt..anatia huruma...anaomba msamaha tu...anapiga simu ila sirudi demi...sema watoto wananifanya nilie kweli kweli..[emoji23][emoji23]nikitoboa nitakupitisha nilipopita[emoji23][emoji23]..shoga kuna ugumu..alafu naambiwa eti ww hyo age huez kaa alone lazima utaolewa tena[emoji58][emoji58][emoji58]napata kichefuchefu
Duuh [emoji22][emoji22]
 
Hakuna upendo, hakuna sharing, hakuna majadiliano ya changamoto, ya maumivu ya kushinda na kushindwa, ya kutiana moyo na kufarijiana... Kila mtu kivyake... Kila mtu na lwake...
Ndoa za vijana wengi ziko katika hali hii
 
Nyie ndio mnaowafanya watu wachomwe gunia mbili za mkaa,kuwataka watu warudi kwa waume zao kisa watoto
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
 
Back
Top Bottom