Daaah ndoa ni changamoto sanaa, , nimeishi na huyu hubby kwa miakaa 5 , uchumba miaka 5 hila hakuna alichovuna hadi leo hajui napenda nini, sipendi nini...binafsi nimejitaidi kwa asilimia kadhaa najua nini anapenda nini apendi, , sasa kwangu imekuwa ngumu kila siku kumuelewesha kwamba sipendi hivo nataka hivi, , , so kwa sasa nimeamua kunyamaza afanye anavojiskia.....nimechoka kuwa na mapenzi ya upande mmoja yaani nakuwa kama mimi ndo nampenda sana yeye hanipendi, kwa sasa nimeamua kuishi niwezavyo vyovyote sawaa tu, nafanya vitu nipendavyo kanifundisha kuwa mbinafsi, ...sa hivi ananilalamikia mbona umebadilika , namjibu hakuna niko poa....ko tunaishi ili mladi siku ziende tuu!nimechoka kumuelewesha...