Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Ana miaka 24 mpaka sasaKwanini ulioa mtu aliyeishia form two maana uelewa wake mdogo au ndo ile dhana huwa mna assume humu Jf kuoa asiye na shule ila akutii sasa madhara yake ndo haya, hapo nakupa pole umejifunga kitanzi kitakachokutesa the rest of ur life, yani anampa mtoto uji hajafikisha six month's the big problem ninayo ioana hapo mumepishana uelewa na vipaumbele mmoja mtu mzima mwingine hafikirii mbele hapo assume siku haupo duniani watoto wataishije, mumepeleke elimu ya watu wazima bila hivo atakuua Kwa pressure ikiwezekana usizae karibuni tena
Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!
Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,
Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa