Mada maalum kwa wanandoa

Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
aisee
 
Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
vipi umeshatoa?? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
haha[emoji3][emoji3][emoji3], huyo mama alikuchana??
 
vipi amesharudisha??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],uzuri kuoa hukulazimishwa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],ndoa ndoano,hivi huu msemo walimaanisha nini??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
vipi bado unaye??
 
Yani wanaume hapa ndipo wanapofeli maana mke kuwa mjamzito,kujifungua,kuwa kwenye siku zake au kuumwa ni kawaida kwa binadamu yote ni mambo ya kheri.....kwanini msishikamane na wake zenu ili Mungu azidi kubariki ndoa yenu?

Yani badala ya kumuonyesha mkeo upendo ndo kwanza janaume linakimbilia kumsaliti.Swali la kujiuliza je nawe ukiwa umepata tatizo au maradhi naye akimbilie kwa michepuko?

Tukumbuke jamani..... usichotaka kutendewa kamwe usimtendee mwenzako,naamini tukizingatia hili sote tutaepusha migogoro mingi
 
Yan ndoa za cku hz ni majanga matupu....mcone watu wanatoka wamepakiana kwny magari wanacheka ukadhan ndoa n tam...ucku kila mtu analala kivyake
 
Daaah ndoa ni changamoto sanaa, , nimeishi na huyu hubby kwa miakaa 5 , uchumba miaka 5 hila hakuna alichovuna hadi leo hajui napenda nini, sipendi nini...binafsi nimejitaidi kwa asilimia kadhaa najua nini anapenda nini apendi, , sasa kwangu imekuwa ngumu kila siku kumuelewesha kwamba sipendi hivo nataka hivi, , , so kwa sasa nimeamua kunyamaza afanye anavojiskia.....nimechoka kuwa na mapenzi ya upande mmoja yaani nakuwa kama mimi ndo nampenda sana yeye hanipendi, kwa sasa nimeamua kuishi niwezavyo vyovyote sawaa tu, nafanya vitu nipendavyo kanifundisha kuwa mbinafsi, ...sa hivi ananilalamikia mbona umebadilika , namjibu hakuna niko poa....ko tunaishi ili mladi siku ziende tuu!nimechoka kumuelewesha...
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
na hapo ndipo mnapokosea nyie wadada.
kama umempenda mtu mpende jinsi alivyo na sio utake kumfanya vile unavyopenda wewe awe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…