Mada maalum kwa wanandoa

Hivi umenielewa kweeli mkuu?? Ungekuwa wewe, unamfanyia kila kitu mkeo afu yeye haoneshi kujali hata kidogo,ungekuwa mnampenda tuu hivohivo jinsi alivyo eeh...unasema tu wewe
na hapo ndipo mnapokosea nyie wadada.
kama umempenda mtu mpende jinsi alivyo na sio utake kumfanya vile unavyopenda wewe awe!!
 
Vipi mkuu
 
Pole sana bibie.... ila mbka umekubali kuolewa nae nahisi kuna vitu unavyopenda alikuwa anavitimiza
 
Wrong choice [emoji144][emoji144][emoji144][emoji22]
Nilikuwa na expectations nyingi sana, kama kujenga familia bora na vitu vingine kadha wa kadha, lakini nilichokikuta ni tofauti kabisa
 
Hii ndoa ipo ICU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…