bite1999
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 387
- 395
Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamojaMimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.
Sent from my iPhone using JamiiForums