Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamoja
 
Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Sasa Kasie mara useme uko single mara uko na Dad.

Sasa napata wakati mgumu maana nimepanda ua zuri la rose ili nikuletee...nalitunza sana ua hili.

Nimeweka jembe begani kwenda kuling'oa sasa maana sina cha kumshinda Dad, ukizingatia huko ulikotoka ilikuwa kama jehanam na sasa uko paradiso.

Hongera Dad wa Kasie
 
............Mwaka wa saba huu naishi ndani ya ndoa with two kids,namshukuru Mungu sana tena sana sijawahi kupata jaribu kubwa japo changamoto za hapa na pale zipo,naposema jaribu namaanisha majaribu kama ambayo huwa nayasoma humu wakati mwengine hujikuta nalengwa lengwa machozi kwa vitu ambavyo hata havinihusu.

Huyu mke wangu nilianza naye kipindi hiko watoto,nikiwa aged 18 akiwa 15 yupo form 3 tukakaa kwenye uchumba au sijui niite mapenzi kwa miaka nane tukafunga ndoa.nilichojifunza kwenye haya mambo ni uchumba wa muda mrefu husaidia sana ku-stabilize maisha ya ndoa,niulize kwa nini?

Unapata wasaa wa kumjenga kiakili jinsi wewe unavyotaka muishi,hawezi act kwamba amekuelewa coz hata aki act kuna vitu utakuwa unaona anavifanya ambavyo havipo kwenye uhalisia uliomueleza na utamkanya mapema naye atakuwa na muda wa kubadilika tofauti na uchumba wa mwaka mmoja ambapo ata-act anaweza ila ukimuingiza Kanisani au Msikitini ndani ya miezi miwili ya ndoa anaanza kubadilika na ukisema umkanye ndo anazidi kuzingua,ndo vurugu tunazoziona humu mitaani.

Pia ikiwezekana umpate anayetokana na asili yako,vijana wengi siku hizi wanaowana na wapenzi wao waliokutana mavyuoni kila mtu ana tabia zake,hii itakufanya umsome zaidi adui yako kwa sababu unakuwa upo na mtu mnaejuana madhaifu yenu na jinsi ya kuvumiliana na kurekebishana.

Ushauri kwa mnaotafuta wake tafuteni mmoja permanently muwaandae mapema haya mambo ya kutafuta mke haraka haraka ukiwa na miaka 29/30 utakuja kuokota visivyookoteka chagua mmoja awe ndiye target yako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Ushauri wako?
 
Kiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje

Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu
Umeingia kwa sababu umempenda jamaa au umri umekutupa mkono?
 
Mfumo dume udumisha furaha kwenye ndoa,namaanisha mwanaume ndiyo kiongozi wa familia na mkewe ni msaidizi wake.

Yaani unataka msaidizi wako(mkeo) akitoka ni nyumbani haraka sana lakini wewe ukitoka kizini ni kushinda vijiweni mpaka saa nne usiku eti ndiyo uanaume. Pumbavu
Kabisa wewe acha ndoa yako iwe gereza tu.
 
Kitu siwazi ni kutombewa...yaaaani siwazi kabisaaaaa ... Ikitokea sawa isipotokea hewala...natomber sana nje ... Na wengi ni wake za watu ..la msingi ajiheshimu nisijue... Kama mimi navyotombeer nje.... Juzi kati mdogo wake kaoa basi kachukua saving ya matumizi yetu karibu yote kuokoa jahazi ... Eti bebi ntakopa kikundi ntarudisha ...Unarudishaaaaaaaa na ongeza deni ....
 
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
Hamnaaaa wakizaaa tu ni matatizo.... Nilichofanya ni kumrudisha kwao dada wa kazi alikuja mdogo la saba alifeli nduguuuuu ametakataaaaa yaaani katika hili moja abaki wife peke yake ajue vizuri majukumu yake na anayafanya sasa yote... Na pili kujiokoa na yule dada wa kazi maana naenda ofisini nikirudi chai lazima nimtomber....
 
Back
Top Bottom