mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Mwache anywe vikokotoo vinarandarandaHahhahahh ili azime akinywa hiyo haamki
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache anywe vikokotoo vinarandarandaHahhahahh ili azime akinywa hiyo haamki
Maskini..madhara ya kumkimbiea ex hayo
Si mambo ya kupisha kwenye korido kama marobotiHapana ikifikia mwisho inawezekana tu
Kweli kaka mito mtu ambaye yupo kwenye ndoa hawezi mshauri aondoke na amwachie mwanaume watoto kuna mda tunatakiwa tuchuje na ushauri tunaopewa na watu
Ni kweli, lkn Kama ulimuacha kwa manyanyaso lazima umkumbuke. Mi pia Kuna ex wangu namkumbuka sana nahisi angefaa kuwa mume wangu
Hahhaha nisicheze mbali ili iweje tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga wewe
Bora wee umeishia kucheka, mi nimeishia kumshangaa tu[emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishia kucheka. Eti manengelo we bado kuingia kwenye ndoa?
Nimeanza lini kukusingizia eti
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani poleni mnoo
Ndiwooo no story kila mtu na mambo yake mwanaume anakuwa busy na watoto tu
Ungekuwa una roho nzuri usingenikatalia lile ombi languWanaonijua wanajua roho yangu mshipa wa watu wewe si unajua mm nina roho mbaya
DuuuNdiwooo no story kila mtu na mambo yake mwanaume anakuwa busy na watoto tu
Aisee! Mwaka na nusu ndoa tupilia mbali!! Ila ni ukweli mchungu! Nakuelewa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubadili wala