Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.

Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji

Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake

Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being

Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.

Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.

Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.

Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Outing ni muhimu bana hata kwa wana ndoa mtajifungia ndani 24/7/365? Leo mnaenda movie, club, lunch, dinner, beach na vacation kama pesa inaruhusu.
naelewa best hata me napenda sana outing ila that just the way i'm, tena naweza kulilia mimi kutolewa out,nikifika huko i just can't help it [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na mr huaga ananikomoa ananikabidhi mimi pesa nilipe bill basi anajua kunitesa kisaikolojia nikiona salio linazid kukata naanza kufosi turud nyumbani tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahaha lol! utakuwa mpare weye! BISHA

naelewa best hata me napenda sana outing ila that just the way i'm, tena naweza kulilia mimi kutolewa out,nikifika huko i just can't help it [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na mr huaga ananikomoa ananikabidhi mimi pesa nilipe bill basi anajua kunitesa kisaikolojia nikiona salio linazid kukata naanza kufosi turud nyumbani tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakutamania, Ila ungeonja ndoa japo kidogo ingependeza


Wakati niko mschana nilitamani sana ndoa... gauni jeupe.... enzi hizo ukumbi wa kifahari ni Diamond Jubelee.... nikawa nasema atayenichumbia harusi itakuwa hapa.....

Looh nilivoanza kukutana nao sasa..... makorokocho akili ikavurugika nikasema why...!!! Acha nijipende mwenyewe kwanza kisha atayenikuta mbele ya safari anipokee jinsi nilivyo.....

Siku isiyo na jina, Dadii huyu hapa....

Mahaba yakazaliwa ndo hadi leo hadi kesho, mtondo na mtondogoo....

Kwa kusema haya, sitamani ndoa nafurahia kuishi na Dadii maisha yangu yaliyobaki tukipendana kama njiwa.

Kasinde.
 
Watoto ndo wanasaidia ndoa nyingi angalau ziendelee kupumua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure... ingekuwa si watoto,dadeq ningeshampiga mbele. Age nayo sasa, 40+ ukimwacha utaoawa wa aina gani?. Akiwa zaidi ya 30 jua nae kaachika, unachukua mzigo aliotua mwenzako!

Akiwa chini ya 30 utagongewa tu maana pumzi ishakata. Ukija kufika 50 yeye ndo yupo kwenye pick anataka kuliwa mzigo kisawasawa. Mie naona tuishi tu maana tushaapa kifo ndio kitatutenganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom