Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Best si umesoma mambo magumu asee? Mbona maisha yanakuwa magumu hivi, yaani umeamua kuishi na mtu halafu mnakuwa mabondia, mabubu na wanafiki tu ndani..dadeq asee
Kuliko maisha ya hivyo...
Bora uishi mwenyewe asee japo ngumu

Halafu furaha inaanza na wewe mwenyewe ujue!...ukishalielewa hili unakuwa na amani ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu, hizi ndoa sijui zina nin siku hizi, hapa Nina mwaka mmoja ndoani , lakini I wish nisingeoa, naona kama niliwahi sana kuoa, yaani I am cornerd, napenda kuwa ndoani, lakini sio na mwanamke huyo!
Daah aisee, maisha ya ndoa 90% ni majukumu ndo maana, mapenzi ndo hizo asilimia chache zilizobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili matope, hivi akili gani hizi?

Yaan umepata mke anakushauri maendeleo na vitu vya msingi unalalamika?

Mwanamke anakushauri kupunguza matumizi mabaya ya pesa ufanye vya maana unakasirika unaona hafai?

Hivi ungepata mke komba akifika hapo anagida pombe mpaka senti ya mwisho ndiyo ungefurahi??

Anakushauri punguza matumizi ulipie bima uwe free kudrive muda wote unakasirika? Hivi hata huo usiku ukipata ajali itakuwaje? Bado hujaona alichokiona mke hapo??

Grow up guys, siongeagi vibaya lakini hapa utanisamehe!! Kwa statement hiyo uliyotoa hapo bado huna akili ya kuoa!!
Hakuna mtu anayekaa ushauri na hakuna mtu asiyetaka maendeleo ya familia yake awe mme au mke ila kumbuka ndani ya familia tunaitaji faraja na kufurahia maisha pia huwezi sema tusinywe soda nyumbani et sababu kuna ada za watoto zinakuja mbele yetu gari ni nini wangapi wanaishi bila gari na wanafurahia maisha tatizo wanawake wengi ubishi nakujiona mnafanya vitu kiusahihi, ni lazima tufurahishe nafsi zetu pamoja ata kama kuna changamoto nyingi za kimaisha zinatuandama kumbuka izi ni Mali tu utakufa utaziacha kwañn usifurahie mmeo anapokuletea zawadi au kukutoa out ww wasema anapoteza pesa mkiachwa kutolewa out mnalalamika nyie hamjui mnachokitaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm namuombea sana aolewe haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.

Haya anayopitia manengelo ni mapito tu na yatapita na atarudi kuishi na mumewe kama zamani na kulea watoto wao vizuri.
Kweli tumuombee tu aolewe ila pia tumuombee asiende na mtazamo huo coz ndoa yake haitadumu

Sakayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaaa, BAK ni rafiki yangu sanaaa lkn urafiki wa kawaidaaa tu kama Kaka na Dada vileeeee
Vinaanziaga huko, baadae sharing inakuwa too close halafu kunakuja viutani fulani, kusaidiana, vizawadi halafu kinafuatia kumisiana... Baada ya hapo...

Jr[emoji769]
 
Ndoa ni taasisi kubwa nyeti mbele za Mungu na Mungu ndiye mwanzilishi wa hii taasisi,ikiwa Mungu anatupenda wanadamu kwa nini atupe kitu cha kututesa?ndoa haijawekwa ili iwe majuto bali faraja na ndio maana Hawa alipoumbwa Adamu alimfurahia,akasema" huyu ni nyama katika nyama yangu na mfupa ktk mifupa yangu"....kumbe tatzo ni sisi wanadamu,ukimpata mume au mke asiye wa kwako lazima majuto yatakupata,watu wengi hawamshiriki Mungu ktk kupata wenza bali tunaongozwa na fikra zetu na mitazamo ya nje kama fedha,urembo utanashati n.k n.k,...kuondoka ktk haya mateso mshirikishe Mungu ktk kupata MWENZA na amini kuwa Mungu anasikia na atakupatia wa kufanana nawe....ukimpata aliye wa kwako ndoa haiwezi kuwa na majuto hata kama changamoto zitakuja,zitapita hazitaweka kituo....KANUNI NI KWAMBA NDOA INATAKIWA IWE SEHEMU YA FURAHA KULIKO MAJUTO NA MAUMIVU.
 
Back
Top Bottom