Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Duh!Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Doh pole sanaNipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nae,yaan kavimbishwa afu anavaa kabashingo...daa...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]View attachment 1323697
Jr[emoji769]