cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee babu huyo ni bae wangu jomoneeeeh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee babu huyo ni bae wangu jomoneeeeh.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Huyo ni babe wangu ananifahamu nje ndani, hajakosea wala hajachanganya.
Kwani infinix co cmu?Unatumia kuingia jf kw infinix
Habari, umeshapata dereva wa uberNaomba unitafutie dereva mzuri wa uber boss
Nadhani waliosema yakaguliwe huko huko kabla hayajaingia nchini walikua na point kuzidi hawa wa sasa wenye shabaha ya kuongeza mapato kwa serikali tu, bila kuangalia madhara kiujumla.Logic ya kukagua magari nje ilikua kuhakikisha magari yasiyo na viwango hayaruhusiwi kuja nchini. Yanabaki hukohuko. Sasa TBS imeamua yakaguliwe baada ya kufika bandarini.
Yani ukiagiza gari Japan hata kama ni "mkweche" una uhakika litafika Dar. Na baada ya kukaguliwa na kuonekana ni "mkweche" utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe.
UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka. Umenunua $2,000 unaambiwa matengenezo ni TZS 5M, hapo bado TRA hawajakutandika kodi ya 7M. Kama huna hela za matengenezo unalidump gari lako na kuondoka. Kwa kifupi tumeamua kuwa dampo.
Kwanini magari yasikagukiwe hukohuko nje ili kupunguza mlundikano wa magari mabovu nchini? Kwanini tunalazimisha kukagua magari hapa nchini? Tuna wataalamu wa kutosha? Teknolojia ya kutosha? Vitendea kazi vya kutosha? Bandari ya Dar inaingiza karibu magari 5000 kila wiki. Je tutaweza kukagua yote kwa wakati?
Je tumeamua kukagua magari yote nchini ili kuongeza mapato? Kwa kuwa karakana zitakazotengeneza ni za serikali hivyo serikali itajiongezea mapato?
Kwa sasa ukiagiza gari dogo (Saloon, SUV au Hatchback) unalipia ukaguzi karibu $300. TBS wanagawana pesa hizo na ma-agent wanaowasaidia kukagua kwenye nchi magari hayo yanapotoka. Je kwa sasa TBS wanataka kuchukua "mzigo wote" wenyewe bila kugawana na ma-agent hao ili kuongeza mapato? Je tumeruhusu nchi iwe "dampo" for the expense ya kuongeza mapato?
Serikali inapaswa kujitafakari upya juu ya uamuzi huu. Ukaguzi uendelee kufanyika hukohuko magari yanapotoka. Ikionekana hayana viwango yabaki hukohuko.
Rafiki yangu aliwahi kulipia $5,500 Japan lakini baada ya ukaguzi gari ikaonekana ni chini ya kiwango. Akapewa option ya kuchagua gari jingine kwa pesa hiyohiyo. Akapata gari zuri. Lakini kwa utaratibu mpya wa TBS gari ingefika Dar ndo aambiwe ni chini ya kiwango. Halafu ipelekwe garage ya UDA apewe "invoice" ya kulipia mamilioni. Kama hawezi aitelekeze gari[emoji848]
Kwani humtaki huyu mkweo mjukuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
wamelenga kupata mapato tu wao hawaangalii ni kwajins gan huyo mtu anaumiaLogic ya kukagua magari nje ilikua kuhakikisha magari yasiyo na viwango hayaruhusiwi kuja nchini. Yanabaki hukohuko. Sasa TBS imeamua yakaguliwe baada ya kufika bandarini.
Yani ukiagiza gari Japan hata kama ni "mkweche" una uhakika litafika Dar. Na baada ya kukaguliwa na kuonekana ni "mkweche" utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe.
UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka. Umenunua $2,000 unaambiwa matengenezo ni TZS 5M, hapo bado TRA hawajakutandika kodi ya 7M. Kama huna hela za matengenezo unalidump gari lako na kuondoka. Kwa kifupi tumeamua kuwa dampo.
Kwanini magari yasikagukiwe hukohuko nje ili kupunguza mlundikano wa magari mabovu nchini? Kwanini tunalazimisha kukagua magari hapa nchini? Tuna wataalamu wa kutosha? Teknolojia ya kutosha? Vitendea kazi vya kutosha? Bandari ya Dar inaingiza karibu magari 5000 kila wiki. Je tutaweza kukagua yote kwa wakati?
Je tumeamua kukagua magari yote nchini ili kuongeza mapato? Kwa kuwa karakana zitakazotengeneza ni za serikali hivyo serikali itajiongezea mapato?
Kwa sasa ukiagiza gari dogo (Saloon, SUV au Hatchback) unalipia ukaguzi karibu $300. TBS wanagawana pesa hizo na ma-agent wanaowasaidia kukagua kwenye nchi magari hayo yanapotoka. Je kwa sasa TBS wanataka kuchukua "mzigo wote" wenyewe bila kugawana na ma-agent hao ili kuongeza mapato? Je tumeruhusu nchi iwe "dampo" for the expense ya kuongeza mapato?
Serikali inapaswa kujitafakari upya juu ya uamuzi huu. Ukaguzi uendelee kufanyika hukohuko magari yanapotoka. Ikionekana hayana viwango yabaki hukohuko.
Rafiki yangu aliwahi kulipia $5,500 Japan lakini baada ya ukaguzi gari ikaonekana ni chini ya kiwango. Akapewa option ya kuchagua gari jingine kwa pesa hiyohiyo. Akapata gari zuri. Lakini kwa utaratibu mpya wa TBS gari ingefika Dar ndo aambiwe ni chini ya kiwango. Halafu ipelekwe garage ya UDA apewe "invoice" ya kulipia mamilioni. Kama hawezi aitelekeze gari[emoji848]
Kumbe unaweza kwenda jail kimasihara