hillongajonas
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 201
- 441
Duuh mwili wa binadam ni kama karatasi kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh mwili wa binadam ni kama karatasi kwa kweli
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana mkuuNakumbuka siku nilipata ajali ambayo hata sielewi ilikuwaaje ghafla tu najikuta nipo kwenye mashamba ya mpunga tena kwenye mkondo wa maji,ile nashtuka nasikia watu wakisema kaua kaua kwa wenge nililopata nikatokea kwenye dirisha nikajitosa kwenye maji dahh!! hii siku siwezi isahau
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Daaah mie yalinikuta mabasi ya kaskazini , Asant Arab sio kwa honi zile alizo nipigia mpka nikapanic nimemwachia site apite ile narudi site yangu Kiazi Kitamu huyu hapa honi za laaan mpaka anagusa spare tire yalivyo nipita nilipark pembeni kwanza kunywa maji maana sio kwa kunijambisha hukooo[emoji4] abiria wa yale mabasi wanamoyo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Awajamaa wanafanya kusudi,kila muda wanaharaka,awataki waone mbeleyao kuna gari tofauti na basi.
Ni wapi hapoKuna sehemu moja Kuna kaupepo Kila nikipita na drive mida ya 6 mchana lazima kausingizi kaje Kwa mbalii
Arusha mitaa pale kisongo Tembo club yaani najitahid Kila nikifka pale naongeza umakini kama Niko na maji najimwagia kichwani
Watu kumi na tano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la by Pass Ngaramtoni wilaya Arumeru Mkoa wa Arusha.Arusha mitaa pale kisongo Tembo club yaani najitahid Kila nikifka pale naongeza umakini kama Niko na maji najimwagia kichwani