Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Kizazi cha TAQWA COACH
hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho
FB_IMG_1696082361302.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah mie yalinikuta mabasi ya kaskazini , Asant Arab sio kwa honi zile alizo nipigia mpka nikapanic nimemwachia site apite ile narudi site yangu Kiazi Kitamu huyu hapa honi za laaan mpaka anagusa spare tire yalivyo nipita nilipark pembeni kwanza kunywa maji maana sio kwa kunijambisha hukooo[emoji4] abiria wa yale mabasi wanamoyo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
.
 

Attachments

  • IMG-20231122-WA0107(1).jpg
    IMG-20231122-WA0107(1).jpg
    72.2 KB · Views: 13
Unajua usingizi unaeza kafanya ufanye vituko zingine watu waishi kusema unatumiaga mihadarati? Kama jana ma usubuhi kuna jamaa amefika mahali kwa parking ka amechoka mbaya mbovu akaamua kwanza apike before alale. Jamaa akatayarisha chakula vizuri akakaanga nyama mwanzo ndio sasa amalizie na ugali. Maji ya ugali ikachemka jamaa akatia unga na kuikoroga vizuri mosmos hadi ikashikana. Sasa kuna vile tukishakoroga ugali huwa tunaiwacha kwa moto kiasi iive. So vile msee aliwacha ugali kwa moto usingizi nayo nikama ilikuwa imemfanya timing. Jamaa alisema wacha anyooshe miguu kwa hizo dakika chache za ugali kuiva akajipata amelala. Na si ka usingizi kadogo ni ile usingizi inakaa kifo. Sasa ugali iliiva ikaungua hadi ikaanza kutoa moshi. Cabin ikajaa moshi hadi ikaanza kutokea nje. Wale madereva wengine walikuwa kwa hiyo parking wakaanza kupiga nduru kuna gari linaungua. So katika ile hali ya kufungua milango eti ndio wajaribu kuuzima ule moto wakapata kumbe ni ugali inaungua na mwenye kuikoroga amelala hapo kando. Bana ilibidi jamaa aamshwe na mwiko za manyungurus
FB_IMG_1702795018149.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha mitaa pale kisongo Tembo club yaani najitahid Kila nikifka pale naongeza umakini kama Niko na maji najimwagia kichwani
Watu kumi na tano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la by Pass Ngaramtoni wilaya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Akitoa taarifa hiyo katika eneo la ajali Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamshna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo imetokea februari 24,2024 muda wa saa 11 jioni ambapo iliyohusisha lori na magari madogo matatu katika eneo la Ngaramtoni Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Kamanda Masejo amesema wanaendelea na uchunguzi wakina ajali hiyo ili kubaini chanzo haiisi cha ajali hiyo.

Aidha amewaomba wananchi kufika katika hosptali ya rufaa ya mount Meru kutambua miili ya waliofariki katika ajali hiyo.
FB_IMG_1708814205937.jpg
 
Back
Top Bottom