RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Ni rahisi mno kuna stick(kibinyio) pale kwenye dashboard ukiminya tu itakurudisha kwenye 0km
Naomba mwenye uzoefu na magari aina ya nissan upatikanaji wake wa spare,nataka kuagiza nissan dualis,kibongobongo sijaziona nyingi barabara nawaza maybe tatizo ni spare mwenye mchango tafadhari.
Ila ku reset ODOMeter as in total mileage traveled by a vehicle ni complicated kidogo.
Mshana jr heshima yako mkuu, naomba kujua uimara wa Toyota Dyna na Mitsubish canter za tani tatu na robo tipa ya kubebea mchanga.. je ni ipi imara zaidi kati ya hizo? Na je naweza kuzipata wapi hapo Dar..??na bei zake kwa kadirio la juu zinaweza kufika shilingi ngapi za kitanzania..Natanguliza shukrani
Mkuu Mshana heshima kwako naona Mkuu RRONDO bado yupo kimya.Naomba nimwalike RRONDO
Mkuu Mshana heshima kwako naona Mkuu RRONDO bado yupo kimya.
Hasa hasa kujua umbali wa gari iliyotembea hasa ukireset zero
Kuna siku niliacha gari kwa fundi halafu ONDO nikareset 0 ilikuwa ijumaa, tulikubaliana niichukue gari jumanne iliyofuata yani siku nne baadae!siku ananikabidhi gari ilikuwa imetembea km 68 nilimweleza kuhusu hilo na nikamkata hela
Kwa hiyo ku reset "ODO Meter as in total mileage traveled by a vehicle" wanafanya mafundi tena waliobobea ktk fani.?!
mkuu kuna nini hapa?
Heshima kwako mkuu RRONDO niliuliza siku za nyuma kuhusu toyota Cami model J100E,kwamba matumizi yake ya mafuta yapo juu ni kilometa 6 kwa lita 1.Mkuu mshana akasema sio kawaida kuna tatizo na wewe unaweza kujua tatizo ni nini.
Kuna prado yangu hapa imeanguka nikainyoosha now inatatizo la mtetemo mkubwa sana wa engine nikiwasha ikawa silence ila nikikanyaga mafuta inaacha shida nini?
Kaka jaribu kuangalia engine mount...inawezekana zimelegea
Kwa hiyo ku reset "ODO Meter as in total mileage traveled by a vehicle" wanafanya mafundi tena waliobobea ktk fani.?!