Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Nakufahamisha ili unapotaka a real all wheel driver umake a right decision..Tangazo la biashara hilo
Twenzetu basi mitaa yetu mshana?
Wadau nataka nimpeleke kijana wangu DRIVING SCHOOL, naomba wadau mnifahamishe ni driving school gani nzuri, iko wap na bei gani nimpeke kijana. Asanten.
päiva;13103480 said:Habari wakuu. Naombeni msaada, Nina Suzuki escudo (goldwin) ya Milango mitano. Gari linazima kila wakati ac inapokuwa imewashwa na hasa linapokuwa limepata Moto na bila kukanyaga mafuta. Kama ac ikiwa imezimwa hakuna tatizo. Silence iko sawa.(sina hakika na spelling za neno silence).
Mafundi wawili wameshindwa kubaini tatizo. Kama Kuna fundi mzuri wa Suzuki nitafurahi kupata mawasiliano nae.
Natanguliza shukrani.