Toyota harrier model iloliyo nzur....lkn isiwe new model...bei mkas....
harrier iko juu sana mkuu?
Mkuu mweleze gari za juu kwenye safari hazifai maana kwenye kona huwa lazima upunguze mwendo lakini kama gx 110 na mark x au crown unalala nayo tu !
Jamani mi nataka Starlet kama mtu anayo na iko vizuri yamkini anataka kubadilisha gari au ana namna nyingine ya uhitaji aniuzie,bajeti yangu ni 4M.kama unayo niPM
Mkuu kiusalama si lazima apunguze mwendo maana licha ya hatari ya kupinduka kuna ile huoni mbele vizuri unaeza kuta jamaa ameovertake huko...defensive driving
Kona za iovyi unaona mbali pamoja na kwamba ni nyingi!
Hahaa weka mbali na watoto mkuu hukawii kudondoka anyway kimsingi kila gari wamecalculate centre yake ya gravity na wametest kwa hizi ndogo unaeza kulala nayo ila kuna limit yake pia. Kadhalika kubwa sema tusiangalie kona tu tuangalie na factors nyingine
Ndio huwezi ifananisha na mark x au crown! Lakini inategemea wapi sehemu zako unaenda sana!
Msaada kwa anayefahamu ubora wa hizi Suzuki ukizingatia uimara wake,upatikanaji wa spea na ulaji wa mafuta.
suzuki gan hiyo mkuu....
Kubwa ni kwenye off road lakini kama huendi huko Mimi napenda za chini huwa zimetulia sana!
(sio za hawa jamaa wa rahisi wanaojitangaza sana)
Hawa nataka niwajue.......ni wale....kuwa mbele au.......?......
Ichukue ziko njema