klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 31
Naombeni msaada wadau. Nataka kununua volskwragen touareg ya mwaka 2004, V6 yenye cc 3180, nataka nifahamu ulaji wa mafuta na upatikanaji wa vipuri. Nataka kuinunua hasa kwa matumizi ya kutembelea hapa mjini na safari ndefu. Asante.
Wakuu naomba kujuzwa ni Hiace model gani yenye engine nzuri na body ngumu.
Nafikiria kununua kwa ajili ya usafiri maeneo ya kijijini ambapo barabara sio nzuri
Msaada wenu tafadhali.
Kwa watu wanaozitumia na kufuata masharti yake sijasikia wakilalamika na ualaji wake wa mafuta ni mzuri sana ukilinganisha na toyota. Ila ukinunua usirumie mafundi wa kubahatisha
Mshana Jr... Ningekuomba uongelee kidogo kuhusu Volskwage Touareg, nampango wa kuinunua gari hii tafadhali.
wadau naomba kujuzwa ubora na udhaifu wa SUZUKI JIMMY ninakipenda hiki kigari,kwa muonekano wake,pia kipo juu,kinafaa sana maporini huku.
Msaada kwa anayefahamu ubora wa hizi Suzuki ukizingatia uimara wake,upatikanaji wa spea na ulaji wa mafuta.Modeli ni TD 54W
Suzuki zote ni gari poa sana coz zina chasisi! Ulaji wa mafuta ni kawaida tu (ila nashauri isiwe gari yako ya kwanza kumiliki). Spare no idea, but all in all zinaonekana vzr sana km ni mtu wa totoz unaeza kufa kwa ngoma ha ha haaa
kama una cash kalipie hata kesho, ni mojawapo ya magari machache yenye cc ndogo ambayo yako imara sana na good thing ni kwamba vina four wheel