Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Nashukuru kwa msaada ila naomba ufafanuzi kwanini umetoa angalizo lakutokuwa gari yangu ya kwanza?.Malengo yangu ni kwamatumizi yakifamilia na mimi siyo mtu watotoz mkuu.
Okay nasema isiwe your first car because
1. They aren't so common in Tz hasa hizi version za 2005>
2. Rangi zake ni very expensive, nyingi ni zelalic ambayo lita 1 sio chini ya laki 2
Kuzingatia kama ndio gari ya kwanza utaiscratch mno kwa kugongana, kuparuzwa, reverse etc ni tofauti na rangi za metallic ambazo ni common kwa magari mengi. Na ukiwa unaanza kudrive most likely utakwangua kwangua sana gari
Nashukuru sana kwa msaada wako na nimekuelewa.
Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu
065551
3132
Nilikuwa na nia ya kununua gari hilo ila kwa sasa umebadili mawazo yangu. Asante kwa reply yako kaka.
Ni gari ndogo yenye comfortable seating. ..mafuta ni 14km/lt...inahimiri mikiki mikiki ya rough road. ...
Tatizo probox hazina shape nzuri tu
Selekwa kuna shida kwenye app yangu ya whatsapp ndo maana unaona kimya ila Angelo akipita huku atafanya mambo