Gari nyingi hizi za kisasa kwa uimara sio kivile hizo Ipsum Uganda ni nyingi sana waweza ichukua lakini uitunze la sivyo Toyota wish lakini nayo haitofautiani sana na ipsum
Asante.. nilikua nazipenda kwa sababu zina seats za kutosha.
Vip alternative ni gari gan..ambayo nayo.ina seats 7
Go for Toyota sienta cc 1490, vvti , excellent fuel consumption, 7 seats, spare zinapatikana kirahisi, but sio kwa Matumaini ya rough roads
Natafuta fundi mzuri wa Nissan X trail inasumbua Throtle sensor nimebadilisha sensor Ila bado inasumbua! Naomba kama kuna Mtu alikuwa na tatizo Hilo na alipata wapi fundi!
Gari ikipita kwenye rough road inazima zima na kuonyesha check engine.
Msaada kwenye tuta
Gari yangu nikikunja kona kali kushoto inalia 'ka ka ka ka'. Nini kinaweza kuwa shida?
We bana acha kutuchekesha hata ww? Hivi mwallu yuko wapi
Hiyo bana kacheki tie rod end izo na steering rake
Wakuu mi nina tatizo hivi,gari yangu sijui ina tatizo gani maana nikitembea umbali fulani kwenye odometer/speedometer haionyeshi umbali sahihi kama unavyojulikana.
KWA MFANO
umbali toka Dar mpaka chalinze ni km 109 hii inajulikana lakini mi nikienda mpaka chalinze umbali hausomi 109km badala yake itasoma kama 97km na hapo safari yangu imeanzia Mbagala kuu maeneo ya mgeni nani.
Je hii hali usababishwa na nini?
Unaweza ukawa umebadili tairi badala ya 185*ukawela 195 au vise versaWakuu mi nina tatizo hivi,gari yangu sijui ina tatizo gani maana nikitembea umbali fulani kwenye odometer/speedometer haionyeshi umbali sahihi kama unavyojulikana.
KWA MFANO
umbali toka Dar mpaka chalinze ni km 109 hii inajulikana lakini mi nikienda mpaka chalinze umbali hausomi 109km badala yake itasoma kama 97km na hapo safari yangu imeanzia Mbagala kuu maeneo ya mgeni nani.
Je hii hali usababishwa na nini?
Mmh sidhani usiniambie Abood ina km tofauti na Passo kwa Dar Moro kisa ni ukubwa na Udogo wa tairi?
naomba kuuliza wanajamii.
Ni njia gani rahisi kutumiwa kifurushi kidogo kutoka senegal kuja tanzania?
Mmh sidhani usiniambie Abood ina km tofauti na Passo kwa Dar Moro kisa ni ukubwa na Udogo wa tairi?
Mshana ujanielewa vzr,nilikua namanisha kua anaweza akawa amebadili tairi mfano unaweza kukuta mtu kanunua gari aina ya ist ambayo kawaida inakuja na tairi za 185/65R15 alafu mtu akataka kuongeza ground clearance kwa kubadili ukubwa wa taisi na akawa ameweka 195/65R15 na hapo ndipo gari uweza kudanganya kuanzia ado meter pamoja na km trip