Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari nyingi hizi za kisasa kwa uimara sio kivile hizo Ipsum Uganda ni nyingi sana waweza ichukua lakini uitunze la sivyo Toyota wish lakini nayo haitofautiani sana na ipsum

Au kama bajeti inaruhusu akamate toyota vanguard mkuu
 
Asante.. nilikua nazipenda kwa sababu zina seats za kutosha.
Vip alternative ni gari gan..ambayo nayo.ina seats 7

Go for Toyota sienta cc 1490, vvti , excellent fuel consumption, 7 seats, spare zinapatikana kirahisi, but sio kwa Matumaini ya rough roads
 
Natafuta fundi mzuri wa Nissan X trail inasumbua Throtle sensor nimebadilisha sensor Ila bado inasumbua! Naomba kama kuna Mtu alikuwa na tatizo Hilo na alipata wapi fundi!

Gari ikipita kwenye rough road inazima zima na kuonyesha check engine.

Msaada kwenye tuta

Aisee kuna jamaa anaitwa Kidedea au kide yupo hapo Kijitonyama ni mtaalamu sana wa hizi gari..pale karibu na Collobuš Hotel..
 
Gari yangu nikikunja kona kali kushoto inalia 'ka ka ka ka'. Nini kinaweza kuwa shida?
 
Gari yangu nikikunja kona kali kushoto inalia 'ka ka ka ka'. Nini kinaweza kuwa shida?

We bana acha kutuchekesha hata ww? Hivi mwallu yuko wapi

Hiyo bana kacheki tie rod end izo na steering rake
 
Last edited by a moderator:
Gari yangu nikikunja kona kali kushoto inalia 'ka ka ka ka'. Nini kinaweza kuwa shida?

We bana acha kutuchekesha hata ww? Hivi mwallu yuko wapi

Hiyo bana kacheki tie rod end izo na steering rake

Hiyo ni front wheel pulling rack ends/ tie rods ukichelewa kubadili zitachomoka
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mi nina tatizo hivi,gari yangu sijui ina tatizo gani maana nikitembea umbali fulani kwenye odometer/speedometer haionyeshi umbali sahihi kama unavyojulikana.

KWA MFANO
umbali toka Dar mpaka chalinze ni km 109 hii inajulikana lakini mi nikienda mpaka chalinze umbali hausomi 109km badala yake itasoma kama 97km na hapo safari yangu imeanzia Mbagala kuu maeneo ya mgeni nani.
Je hii hali usababishwa na nini?

Utakua umebadili ukubwa wa tairi mfano labda ilikua 185 we ukaweka 195 au vise versa
 
Wakuu mi nina tatizo hivi,gari yangu sijui ina tatizo gani maana nikitembea umbali fulani kwenye odometer/speedometer haionyeshi umbali sahihi kama unavyojulikana.

KWA MFANO
umbali toka Dar mpaka chalinze ni km 109 hii inajulikana lakini mi nikienda mpaka chalinze umbali hausomi 109km badala yake itasoma kama 97km na hapo safari yangu imeanzia Mbagala kuu maeneo ya mgeni nani.
Je hii hali usababishwa na nini?
Unaweza ukawa umebadili tairi badala ya 185*ukawela 195 au vise versa
U
 
naomba kuuliza wanajamii.
Ni njia gani rahisi kutumiwa kifurushi kidogo kutoka senegal kuja tanzania?
 
naomba kuuliza wanajamii.
Ni njia gani rahisi kutumiwa kifurushi kidogo kutoka senegal kuja tanzania?

EMS au DHL japo DHL yaweza kuwa ghali zaidi lakini mzigo hufika haraka

LAKINI: nimeingiwa na hamu ya kujua ni kitu gani hicho unachotaka kutumiwa kwakuwa huko Senegal kuna wapigaji wengi
 
Mmh sidhani usiniambie Abood ina km tofauti na Passo kwa Dar Moro kisa ni ukubwa na Udogo wa tairi?

Mshana ujanielewa vzr,nilikua namanisha kua anaweza akawa amebadili tairi mfano unaweza kukuta mtu kanunua gari aina ya ist ambayo kawaida inakuja na tairi za 185/65R15 alafu mtu akataka kuongeza ground clearance kwa kubadili ukubwa wa taisi na akawa ameweka 195/65R15 na hapo ndipo gari uweza kudanganya kuanzia ado meter pamoja na km trip
 
Attachments

  • 1440985940099.jpg
    1440985940099.jpg
    35.3 KB · Views: 296
Mshana ujanielewa vzr,nilikua namanisha kua anaweza akawa amebadili tairi mfano unaweza kukuta mtu kanunua gari aina ya ist ambayo kawaida inakuja na tairi za 185/65R15 alafu mtu akataka kuongeza ground clearance kwa kubadili ukubwa wa taisi na akawa ameweka 195/65R15 na hapo ndipo gari uweza kudanganya kuanzia ado meter pamoja na km trip

OK hii imekaa vizuri sasa
 
Back
Top Bottom