Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni make tu hizo hazitofautiani kivile ni all weather cars na vina four wheel
Kamanda Daihatsu......?.........anyway......beforward wametutoa kimasomaso..........no mawazo ya parts tena.........
ubarikiwe mkuu!Almost 15 km per litre
Kwani wamesha fungua Hilo dukaa na lipo sehem ganiiii
Wanafungua kesho.......tar 14 Sept........lipo Tabata........Mandela Road...........
Morning all! Lengo langu si kubishana ila naeleza hali halisi iliyopo. Nimekagua taa zote,hakuna iliyoungua hata moja lakini pia ilitokea tukaangalia break pads tukakuta zimekwisha. Aina ya break pads hizi iliyokuja nazo haina kibati kile kipigacho kelele-hissing sound. Ndio sababu fundi akatoa recommendation hiyo.
wakuu nataka kununua Toyota Harrier ya mwaka 1999toka japan naombeni mwongozo napatia au nipeni uimara wake na udhaifu gari yangu yakwanza hii nisiingie mkenge
No 1 is ment to argue or altercate! View attachment 286565View attachment 286566
We always justify the answers with evidence. The screenshots are international vehicle simbols as displayed on dashboard, wether a symbol, acronym or a picture.
If tail lights symbol dispay on your dashboard means one of tail light needs to be replaced
Bado sio sahihi, hiyo taa inaweza pia kuwaka kwa sababu ya false alarm tu kutokana na taarifa potofu kwenye mfumo wa comp wa gari. Unaweza kuipotezea haina shida. Brake pads uwe unakagua kila unapofanya service. Ni harrier model gani mkuu?
Asanteni kwa recommendations zenu wadau! Ngoja niufanyie kazi ushauri. Gari ni model 2360 cc,2002 year,RX 300 Lexus.
Ntakupa hint
Well nilikuwa barabarani. Kwa kuanzia kama unapwnda fuel economy basi chukua engine 5S-FE hii ni four cylinder, 2163 CC. Nyingine ni 3000CC V6 zina nguvu sana lakini pia zinakula wewe... hizi zimeandikwa 3.0 nyuma.
Uimara wake si wa kutia shaka ni SUV unayoweza kenda nayo rough road za kawaida bila sgida mikoani vijijini n.k ili mradi usiwe na uendeshaji wa hovyo hovyo.
Ina nafasi sana ndani na ni very comfortable ndani. So fo for it. Mambo ya bei nadhani utakuwa umeshayajua
Agiza kiroba cha bariiiidi hapo ulipo ila Usisahau tena kwenye GO usiweke Fo Hahahaaa
Jamani niwapongeze kwa ushauri mnaoendelea kutupatia kuhusu magari
hakika ni mkubwa sana...
Kwa sehemu nyingine huduma hii ingekuwa inalipiwa fedha nyingi tu.
Naombeni ufafanuzi wa gear za automatic na zinatumika wakati/kipindi gani
d, d2, L
wengi wetu huwa tunaweka gear d tu.