Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Budget yangu ni 18m naweza pata hiyo Harrier mkuu Kaizer?

toyota_harrier_2_4_year_2005_for_sale_96635423988139066.jpg

BF148460_1.jpg

Ya kwanza ndo new model, 2005, ya pili ndio model ya mwanzo hiyo ni ya 2000.
 
Hii ya pili km naweza kuimudu kwa bugdet yangu wacha niitafute mkuu, imekaa vizuri hata rangi yake ni ya mwanaume, thanks Kaizer
 
Last edited by a moderator:

Yeah hapo ni ukiagiza mwenyewe am sure utaitia mkononi, black ndo rangi yetu mkuu huwa rangi hiyo inapandisha bei gari kinoma. ukipata ya 2163CC itakuwa poa kwa ajili ya economic fuel consumption, but hata 2,4CC sio mbaya
 
mshana jr hizi Kluger kuna jamaa aliniambia zinasumbua sana engine, hebu nipe neno la mwisho nifanye maamuzi mkuu!

Inategemea...! Ila ukizingatia service na utunzaji hakuna kitu kama hicho, Nimekaa na moja karibia miezi sita sasa na inapiga mzigo hasa haijawahi hata kuleta shida ndogo
 
Last edited by a moderator:
Yeah hapo ni ukiagiza mwenyewe am sure utaitia mkononi, black ndo rangi yetu mkuu huwa rangi hiyo inapandisha bei gari kinoma. ukipata ya 2163CC itakuwa poa kwa ajili ya economic fuel consumption, but hata 2,4CC sio mbaya

Ahsante mkuu wacha niwatembelew hawa SBT au Be Forward nichague moja waniletee...
 
Hahahaa niko dilemma sasa, maana ni either Harrier au Kluger, which is the best???

Pia vipi kuhusu Ford Escape?

To my opinion naweza kusema big no kwa harrier, Ford escape Sina uzoefu nazo.....ila nimeshuhudia Harrier zikiwatesa wengi hasa engine na gearbox
 
Hii ya pili km naweza kuimudu kwa bugdet yangu wacha niitafute mkuu, imekaa vizuri hata rangi yake ni ya mwanaume, thanks Kaizer

Yeah hapo ni ukiagiza mwenyewe am sure utaitia mkononi, black ndo rangi yetu mkuu huwa rangi hiyo inapandisha bei gari kinoma. ukipata ya 2163CC itakuwa poa kwa ajili ya economic fuel consumption, but hata 2,4CC sio mbaya

kwa hiyo rangi hiyo mnapenda Ili mfiche nini.......?.......he he he........mkinipa lift muhakikishe mna AC full time.......hasa hiki kipindi cha joto...........
 
Hahahaa hakuna tunachoficha mkuu, ingawa inapendeza iwe tinted...naamini ww huhitaji lift lazima utakuwa na usafiri tena wa maana Preta
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa hakuna tunachoficha mkuu, ingawa inapendeza iwe tinted...naamini ww huhitaji lift lazima utakuwa na usafiri tena wa maana Preta

Sina.........si juzi hapa Vanguard iliibiwa bandarini.........muulize BADILI TABIA ni shahidi........alikuwepo nikilalamika........ndio naitafuta..........ha ha ha ha.........
 
Last edited by a moderator:
Sina.........si juzi hapa Vanguard iliibiwa bandarini.........muulize BADILI TABIA ni shahidi........alikuwepo nikilalamika........ndio naitafuta..........ha ha ha ha.........

What?😕 Van guard yq 40m uliibiwa, OMG...ilikuwa ndio imefika toka nje au? Haikuwq na insurance??? Pole Preta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom