Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari zote mbili zina engen za D4
Gari zote mbili zina engen za D4
Ha ha.......leo umekuja gereji kwetu.......ukitutafuta lazima utukute hapa.........karibu sana..........
Hii ya pili km naweza kuimudu kwa bugdet yangu wacha niitafute mkuu, imekaa vizuri hata rangi yake ni ya mwanaume, thanks Kaizer
mshana jr hizi Kluger kuna jamaa aliniambia zinasumbua sana engine, hebu nipe neno la mwisho nifanye maamuzi mkuu!
Yeah hapo ni ukiagiza mwenyewe am sure utaitia mkononi, black ndo rangi yetu mkuu huwa rangi hiyo inapandisha bei gari kinoma. ukipata ya 2163CC itakuwa poa kwa ajili ya economic fuel consumption, but hata 2,4CC sio mbaya
Inategemea...! Ila ukizingatia service na utunzaji hakuna kitu kama hicho, Nimekaa na moja karibia miezi sita sasa na inapiga mzigo hasa haijawahi hata kuleta shida ndogo
Ni kweli ila kwa hiyo klugger haina shida
Hahahaa niko dilemma sasa, maana ni either Harrier au Kluger, which is the best???
Pia vipi kuhusu Ford Escape?
Hii ya pili km naweza kuimudu kwa bugdet yangu wacha niitafute mkuu, imekaa vizuri hata rangi yake ni ya mwanaume, thanks Kaizer
Yeah hapo ni ukiagiza mwenyewe am sure utaitia mkononi, black ndo rangi yetu mkuu huwa rangi hiyo inapandisha bei gari kinoma. ukipata ya 2163CC itakuwa poa kwa ajili ya economic fuel consumption, but hata 2,4CC sio mbaya
kwa hiyo rangi hiyo mnapenda Ili mfiche nini.......?.......he he he........mkinipa lift muhakikishe mna AC full time.......hasa hiki kipindi cha joto...........
Hahahaa hakuna tunachoficha mkuu, ingawa inapendeza iwe tinted...naamini ww huhitaji lift lazima utakuwa na usafiri tena wa maana Preta
Sina.........si juzi hapa Vanguard iliibiwa bandarini.........muulize BADILI TABIA ni shahidi........alikuwepo nikilalamika........ndio naitafuta..........ha ha ha ha.........