shabanihalfani
Member
- Oct 5, 2015
- 9
- 1
Ufanyeje unapopata ajali na una bima kubwa? Comprehensive
1:kuripoti polisi
2: kuripoti kwenye bima yako ndani ya masaa 48
3: pata fomu hizi toka polisi-PF 90 ambayo ni ripoti na maelezo ya ajali, PF91-Mchoro wa ajali, PF 101?- VIR, Vehicle inspection report hii inaonyesha gari kiwango cha uharibifu wa gari na mwisho 115 Judgement form
Ukishapata hivyo vyote peleka gari garage kwa ajili ya ukaguzi na quotation
Ukifika bima na hizo documents utahitajika kujaza claim form na kuambatanisha na copy ya leseni, copy ya covernote na risiti yake! Maelekezo na maswali mengine utakutana nayo bima
Continued..........
isipokuwa wawajibishwe kwanza.
Maneno ya Mzee Dr. Hans Kitine yasipite hivi hivi, yafanyiwe kazi ili hizi PhD feki za akina Nchimbi et al, ziondolewe mara moja.
Mbona Kihiyo alishikiwa bango WHY NOT Nchimbi et al
mshanajr njoo hapa pia,Nina gari Toyota vista ardeo,D4 ya 3s ni mwaka 2001 nami nijulishe kama gari hii inatumia timing belt au timing chain. inazaidi ya km110,000 sasa.Pia nipe uzoefu wa gari ambazo gear box zake zimetengenezwa kwa material ya aluminium na mengine tofauti. Maana nataka kununua gari kati ya HARRIER ,CC2200-2400 na KLUGER V 2200-2440.Kati ya gari hizo mbili naomba unishawishi ninunue ipi kati ya hizo.asante