Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Ufanyeje unapopata ajali na una bima kubwa? Comprehensive
1:kuripoti polisi
2: kuripoti kwenye bima yako ndani ya masaa 48
3: pata fomu hizi toka polisi-PF 90 ambayo ni ripoti na maelezo ya ajali, PF91-Mchoro wa ajali, PF 101?- VIR, Vehicle inspection report hii inaonyesha gari kiwango cha uharibifu wa gari na mwisho 115 Judgement form
Ukishapata hivyo vyote peleka gari garage kwa ajili ya ukaguzi na quotation

Ukifika bima na hizo documents utahitajika kujaza claim form na kuambatanisha na copy ya leseni, copy ya covernote na risiti yake! Maelekezo na maswali mengine utakutana nayo bima

Ufanyeje pia, umepata ajari mathalani kugongwa, kama bima yako ni third party?
 
Continued..........

isipokuwa wawajibishwe kwanza.

Maneno ya Mzee Dr. Hans Kitine yasipite hivi hivi, yafanyiwe kazi ili hizi PhD feki za akina Nchimbi et al, ziondolewe mara moja.

Mbona Kihiyo alishikiwa bango WHY NOT Nchimbi et al

Aliyekugonga ndio Bima yake inahusika kukutengenezea gari lako
 
Msaada kwenye tuta wadau.
Nimetokea kukahusudu ka "baby walker" aina ya Toyota vitz model ya 2005.
Naombeni uzoefu wenu kuhusu ubora wake na mapungufu yake ili nami nifanye maamuzi ya kuanza kutembelea kiuno na kuepuka purukushani za daladala.
 
Gar passo inapopanda mlima ama kuanza kuondoka kwa kukanyagia mafuta kuna vitu vinapiga kelele kwa mbele.. msaada naombeni
 
mshanajr njoo hapa pia,Nina gari Toyota vista ardeo,D4 ya 3s ni mwaka 2001 nami nijulishe kama gari hii inatumia timing belt au timing chain. inazaidi ya km110,000 sasa.Pia nipe uzoefu wa gari ambazo gear box zake zimetengenezwa kwa material ya aluminium na mengine tofauti. Maana nataka kununua gari kati ya HARRIER ,CC2200-2400 na KLUGER V 2200-2440.Kati ya gari hizo mbili naomba unishawishi ninunue ipi kati ya hizo.asante

HARRIER IS THE BEST, Hizo gari zinafanana karibia kila kitu isipokuwa umbile, uzito na uimara Wa milango ambapo milango ya HARRIER ni imara kuliko KRUGER
 
Last edited by a moderator:
Wadau napenda kujua nini kazi ya thermostat kwenye gari na je ikitolewa ina madhara gn?
 
Back
Top Bottom