Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Jamani naombeni mnisaidie hivi vile vidude vina maana gani vinavyobandikwa kwenye rim pembeni vile vya aliminium?
 
Jamani naombeni mnisaidie hivi vile vidude vina maana gani vinavyobandikwa kwenye rim pembeni vile vya aliminium?

Vile vinawekwa kwa ajilinya wheel balance wakishapima wanaviweka pala tairi linapokuwa limebalance kulingana na vipimo.
 
Passo na Spacio wadau ni Sedan,hatchback ni gari yenye muundo kama Alteeza LAKINI boot yake ukifungua inafunguka na kioo cha nyuma,vimeungana.
 
Passo na Spacio wadau ni Sedan,hatchback ni gari yenye muundo kama Alteeza LAKINI boot yake ukifungua inafunguka na kioo cha nyuma,vimeungana.

Hebu kasome tena, sifa ya Sedan, inakuwa na sehemu ya mizigo isiyoingiliana na passenger compartment. Sifa ya hatchback ni kuwa sehemu ya mizigo inaweza kuwa extended na kupata nafasi zaidi ya kuweka mizigo au kuongeza idadi ya seats. Hilo unaweza lifanya kwenye gari kama Toyota Wish, Spacio, Sienta (7 seats) , IST na PASSO unaweza laza viti vya nyuma kuongeza ukubwa wa mahala pa kuweka mizigo. Altezza zipo aina 2, kuna sedan na Altezza Gita ambayo ni hatchback, nyuma kunafunguka kama Toyota Will VS.
 
Wakuu habari

Mwenye uzoefu wa Opa anipatie maana nataka kuinunua na matumizi yake ni binafsi, pia kila siku ili niingie home kuna barabara ya udongo na changarawe nitakayolazimika kuitumia japo siyo mbaya
Naomba kujua uimara wake, spea zake nk
Akhsanteni
 
mkuu hizo engine sio mbaya sema mafundi ndio mabaya mm ni FUNDI UMEME nazipenda sana naninaxikubali sana .

engine inakubali spana sana.sema sumu kubwa na ugojwa mkubwa ni mafuta
 
Last edited by a moderator:
mkuu hizo engine sio mbaya sema mafundi ndio mabaya mm ni FUNDI UMEME nazipenda sana naninaxikubali sana .

engine inakubali spana sana.sema sumu kubwa na ugojwa mkubwa ni mafuta

Ni kweli mkuu, D4 ni super engine, ila ukiweka mafuta 'super' unaua engine...mm hata kwa gari yangu VVT-i huwa siweki mafuta Super maana siyaamini nayaona km ubora wake uko chini sana#

Ila cku hizi naona kuna gari ni D4-VVT-i, hizi unaweza kuweka Mafuta yyt yake..mfano Toyota wish nyingi ni hizo!
 
Habari wana JF. Naomba ushauri wenu, kwa wenye kujua, sifa njema name mbaya za aina hii ya gari > Honda Cross road. Asanteni.
 
Wadau gari yangu Toyota Ipsum taa ya engine check imewaka ina mwezi sasa,nimepeleka kwa fundi amepima kwa kutumia computerised diagnostic system ameniambia ni oxygen sensor imekufa ila haina madhara kwenye engine.Kuna mwenye kujua chochote kuhusu hili!
 
Kama ni sahihi inabidi uibadili ...hao walioiweka wanajua umuhimu wake huuo fundi wako kiwa naye makin. Ikibidi kacheki tena sehemu nyingine uwe na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…