Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kati ya spacio na passo ipi ipo kwenye class ya ist?
Passo na spacio zote ni sedan mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya spacio na passo ipi ipo kwenye class ya ist?
Chukua Terois Kid hutajuta
Jamani naombeni mnisaidie hivi vile vidude vina maana gani vinavyobandikwa kwenye rim pembeni vile vya aliminium?
Jamani naombeni mnisaidie hivi vile vidude vina maana gani vinavyobandikwa kwenye rim pembeni vile vya aliminium?
Passo na spacio zote ni sedan mkuu
Passo na spacio zote ni sedan mkuu
Passo na Spacio wadau ni Sedan,hatchback ni gari yenye muundo kama Alteeza LAKINI boot yake ukifungua inafunguka na kioo cha nyuma,vimeungana.
??! ??!Vile vinawekwa kwa ajilinya wheel balance wakishapima wanaviweka pala tairi linapokuwa limebalance kulingana na vipimo.
Kati ya spacio na passo ipi ipo kwenye class ya ist?
Halafu mafundi wa Tz kwanini hamzipendi engine za D4, mpaka mmeaminisha watu wote waamini kuwa engines hizi ni mbaya na hazifai:sly:
Mm nilikuwa na D4 nimeendesha 4yrs engine haikuwahi kunisumbua hata kidogo, kimbembe kilikuja wakati nataka kuiuza, mteja unafika nae bei, akiulizia aina ya engine, ukishamwambia ni D4 basi biashara inaishia hapo!
mshana jr hizi engine zina shida gani???
mkuu hizo engine sio mbaya sema mafundi ndio mabaya mm ni FUNDI UMEME nazipenda sana naninaxikubali sana .
engine inakubali spana sana.sema sumu kubwa na ugojwa mkubwa ni mafuta
Wadau gari yangu Toyota Ipsum taa ya engine check imewaka ina mwezi sasa,nimepeleka kwa fundi amepima kwa kutumia computerised diagnostic system ameniambia ni oxygen sensor imekufa ila haina madhara kwenye engine.Kuna mwenye kujua chochote kuhusu hili!