Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Mimi ni fundi mkuu wa shokomzoba na breki pads humu ndani..........hi hi hi........
Mkuu Mshana nifafanulie maana ya hizi alama kwenye gari yangu Toyota allteza M. L2,L3 na kuna batani ya pwr na batani ya snow nataka kufahamu maana zake
Mkuu Mshana nataka kufahamu hizi alama kwenye Gari yangu Toyota allteza . M, L2,L3 na kuna batan pwr na batan ya snow
Mkuu Mshana nataka kufahamu hizi alama kwenye Gari yangu Toyota allteza . M, L2,L3 na kuna batan pwr na batan ya snow
Duuuu ngoja nirndelee kusubiri wataalm. Sasa kama M ni manual gear namba 1,2,3,4 na 5 nitazipatia wapi mbona hazipo ?
hahahaha mkuu usishangae M kuambiwa manually .ndio maana kwenye Gari zingine utaona hivi P ,R ,N D M + na -.
harafu nyingine P,R,N,D,2,L
na kwenye manual ukiwa unaendeshea hapo Gari itamaliza gia zote inategemeana na mfumo upi umetumika mfano kama kwenye harrier au kluger au hata RAV 4 kwenye steering wheel utaona kuna botton za positive + na negative - hizo ni kwaajili ya kuendeshea manually.
sijui kama utanielewa.
Wakuu msaada kudogo gari yangu ni ndono na unatumia mfumo Wa zamani Wa Taa kubwa ninavyooa yaaani inakuwa na jumba LA Taa na ndani yake kuna kuwa na balbu nilitaka kujua he inawezekana hizo Taa kuzifanyia mod. Na kuwaka mwanga mkali (booster)kama gari za kisasa? Maana nanyanyasika rodini
mkuu inawezekana tukakufungia TAA za kuwanyanyasa wenzio na wewe kama upo dar tutafutane
Hahaaa hainanoma mkuu nimekusoma. Mana imeanza na P,R,D, M then L2,L3
Kwanza fuel filter huwa ni ya kubadili na si ya kusafisha hilo ni kosa pia checki na fundi aangalie gearbox
Tangasisi hiyo inatumika kwenye zile nchi ambazo zina majira ya baridi kali kufikia kiwango cha barafu
Napenda kuuliza, natumia gari aina ya corona injini 5A, injini imeshachoka je! ni bora kufanya kipi, ovaholi au kununua injini mpya? Na gharama inakuwaje kununu injini au kuovaholi
kwenye steling hakuna baton zenye herufi ya kujumlisha na kutoa??
Zipo kaka
basi ukiweka gear rever kwenye M Unaanza kuendesha Gari na kubadili gear kwanjia ya manually kwa kutumia hizo botton.+ kwa kuongeza gear na kama unataka kupangua gear bas unabonya -.