Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Mimi ni fundi mkuu wa shokomzoba na breki pads humu ndani..........hi hi hi........
Escudo yangu inapiga kelele nikifunga brek, ila siendesh daily inaweza pita wiki hadi mwez nimepark. Tatizo ni nin? Labda kukaa sana au pads kwisha?