Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Jamani naomba ushauri wenu kana gari aina vits na funcargo zinauzwa napenda nifanya maoengezi na muuzaji, naomba ushauri wenu kati ya vits na funcargo ipi bora
 
Jamani naomba ushauri wenu kana gari aina vits na funcargo zinauzwa napenda nifanya maoengezi na muuzaji, naomba ushauri wenu kati ya vits na funcargo ipi bora

vits gani mkuu new model au old??

ila hao ndio wale wale familia ya Z .tofauti hapo ni body tuu mkuu.
 
Naombeni kujuzwa kuhusiana na Toyota Ist..hasa mapungufu yake..Nini hasa changamoto za magari haya?..nimeipenda sana
 
Je magar yanayotumia diesel hasa kwa noah voxy .. Alteza au vitz..ni kweli kuwa oil consumption ni ndogo?
 
Mshana iyo triki ya kupunguza mafuta inakuaje nijuze
 
Mshana iyo triki ya kupunguza mafuta inakuaje nijuze

Usiilazimishe auto kutaka unavyotaka wewe mara umevuta mpaka mia mara unashuka mpaka hamsini.. Itakula kwako
Acha auto ijiendeshe wewe ni kuisindikiza tu, ongeza mafuta taratibu itajibadili gear yenyewe kulingana na mwendo punguza mwendo taratibu kama sio dharura itajipangua yenyewe... Kwa njia hiyo gari yako gearbox yake itadumu na utafaidi ulaji wa mafuta kulingana na ukubwa wa engine
 
Swali langu kaka Mshana ni hili.
Yaani gari ipo speed kama 90 na gari ipo ktk OD{Over Drive} ukaacha kuanyaga mafuta unakuwa unasevu au mafuta yanakwenda vile vile
 
Swali langu kaka Mshana ni hili.
Yaani gari ipo speed kama 90 na gari ipo ktk OD{Over Drive} ukaacha kuanyaga mafuta unakuwa unasevu au mafuta yanakwenda vile vile

Hauokoi kitu mguu hapo....we cheza na RPM tu hisiwe inavuka kwenye 2, kama ukiwa safari basi hisivuke kwenye 2.7......lakini vinginevyo utakua unaichosha gari
 
Okay Mshana
Na hii kwa magari aya ya manual transmission. Ivi vitendo vya kupga free na yenyewe ni kuua gear box
 
Swali langu kaka Mshana ni hili.
Yaani gari ipo speed kama 90 na gari ipo ktk OD{Over Drive} ukaacha kuanyaga mafuta unakuwa unasevu au mafuta yanakwenda vile vile

Hapo tayari gari imeshakolea mwendo kwahiyo inajiendesha kama ni tambarare speed itabaki ile ile kwa muda na kama ni kwenye kijimlima speed itapungua kwa haraka, kwahiyo itakuwa ni general serving ambayo ni ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…