Mimi ni mgeni humu jamvini lkn nimevutiwa sna na huu uzi. Ndugu yangu ana gari aina ya Pajero mini cc 660, huwa inatokea ikitembea umbali fulan inakuwa kama inatetemeka sana lkn baadae hiyo hali inatoweka. Kwa uzoefu wako kaka Mshana, hiyo hali inaweza kusababishwa na nini?
Jamani mimi nina ka passo ila nilibomoa sample nimeunga bado kanavuja je kwa dsm ntapata wapi sample ya passo ya piston 3?
Jamani mimi nina ka passo ila nilibomoa sample nimeunga bado kanavuja je kwa dsm ntapata wapi sample ya passo ya piston 3?
Ahsante,petrol station inahitajika uzime gari wakati wa kuweka mafuta,inakuaje kwa safari ndefu mfano Dar to Mwanza,utalizima ukifika Singida wakat unajaza mafuta?
Nina gari inasumvua radio halii...nilichek na fundi kila kitu kiko sawa ila moto haufikii..ningependa kufanya diagnosis nijue tatizo ni nn...naombeni kwa yule anae faham wapi wanafanya na kwa bei gani..
Tafuta funding umeme/ wiring acheki na fuse pia ingekuwa sawa kila kitu isingeacha kufanya kazi
Fuse ziko okay, ndio mana nilikua napendelea kujua gharama za diagnosis mana isiwe kubahatisha bahatisha
Du bado hapo naona shida IPO kwenye wiring tu kuna moto unapotea mahali lakini hii ni guess work ngoja tuone wengine watasemaje
Actually fuse ziko okay kote Fundi alicheck, lakini haufiki kenye radio(maybe umekatika) sasa najiuliza nimuachie Fundi aendelee kuchokonoa, Labda atafanikiwa or atanipotezea time nakuharibu zaidi? Haya ndo maswali najiuliza nakosa jibu..
Tafadhali nakushauri mbadili haraka tafuta fundi mtaaluma mwenye tracer
Kuna unae mfaham? Or garage unaweza kuni suggest? Thanks mkuu
Pale mtaa wa kwanza kulia Bakhresa fire kuna funding anaitwa KEDU ukiweza kamuulizie sina hakika kama bado yupo hapo na contact zake sina ila waweza elekezwa anapopatikana! Ni ule mtaa unaopakana na Puma filling station formally BP