Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #361
Mimi ni mgeni humu jamvini lkn nimevutiwa sna na huu uzi. Ndugu yangu ana gari aina ya Pajero mini cc 660, huwa inatokea ikitembea umbali fulan inakuwa kama inatetemeka sana lkn baadae hiyo hali inatoweka. Kwa uzoefu wako kaka Mshana, hiyo hali inaweza kusababishwa na nini?
Mmmh hili tatizo ni geni kwangu ila nijuavyo mtetemo kwenye gari kama inatembea huletwa na wheel alignment/ balancing?, break pads au ball joints Na kati ya speed 60-80 tu ikipungua au ikizidi hapo husikii mtetemo tena
Kwa tatizo kama hilo ni vema kumuona mtaalam wa hizo gari