Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mimi ni mgeni humu jamvini lkn nimevutiwa sna na huu uzi. Ndugu yangu ana gari aina ya Pajero mini cc 660, huwa inatokea ikitembea umbali fulan inakuwa kama inatetemeka sana lkn baadae hiyo hali inatoweka. Kwa uzoefu wako kaka Mshana, hiyo hali inaweza kusababishwa na nini?

Mmmh hili tatizo ni geni kwangu ila nijuavyo mtetemo kwenye gari kama inatembea huletwa na wheel alignment/ balancing?, break pads au ball joints Na kati ya speed 60-80 tu ikipungua au ikizidi hapo husikii mtetemo tena

Kwa tatizo kama hilo ni vema kumuona mtaalam wa hizo gari
 
Jamani mimi nina ka passo ila nilibomoa sample nimeunga bado kanavuja je kwa dsm ntapata wapi sample ya passo ya piston 3?
 
Mmh hizo sidhani kama used zake zishatua bongo ushauri wangu jaribu kupita njia ya Sinza tandale uzuri kuna salvage nyingi kule waweza bahatisha la sivyo tembelea Ilala kwenye used
 
Mshana,ahsante kwa kunijuza mengi,je?ubora wa gari kati spacio new model na toyota ist ?
 
Baki na IST bado haijawa na mpinzani kwenye hizi gari ndogo za kisasa, zaidibya Duet na ni durable na inavutia na ni pans kwa mwonekano
 
Ahsante,petrol station inahitajika uzime gari wakati wa kuweka mafuta,inakuaje kwa safari ndefu mfano Dar to Mwanza,utalizima ukifika Singida wakat unajaza mafuta?
 
Kwa gari za petrol haina shida, lakini za diesel inabidi usubiri kidogo maximum ni dakika 5
 
Nina gari inasumvua radio halii...nilichek na fundi kila kitu kiko sawa ila moto haufikii..ningependa kufanya diagnosis nijue tatizo ni nn...naombeni kwa yule anae faham wapi wanafanya na kwa bei gani..
 
Tafuta fundi umeme/ wiring acheki na fuse pia ingekuwa sawa kila kitu isingeacha kufanya kazi
 
Fuse ziko okay, ndio mana nilikua napendelea kujua gharama za diagnosis mana isiwe kubahatisha bahatisha

Du bado hapo naona shida IPO kwenye wiring tu kuna moto unapotea mahali lakini hii ni guess work ngoja tuone wengine watasemaje
 
Actually fuse ziko okay kote Fundi alicheck, lakini haufiki kenye radio(maybe umekatika) sasa najiuliza nimuachie Fundi aendelee kuchokonoa, Labda atafanikiwa or atanipotezea time nakuharibu zaidi? Haya ndo maswali najiuliza nakosa jibu..
 
Tafadhali nakushauri mbadili haraka tafuta fundi mtaaluma mwenye tracer
 
Kuna unae mfaham? Or garage unaweza kuni suggest? Thanks mkuu

Pale mtaa wa kwanza kulia Bakhresa fire kuna funding anaitwa KEDU ukiweza kamuulizie sina hakika kama bado yupo hapo na contact zake sina ila waweza elekezwa anapopatikana! Ni ule mtaa unaopakana na Puma filling station formally BP
 
Asante sana mkuu...nitajitahidi nikiweza ntapita Leo ao kesho nitakupa mrejesho
 
Back
Top Bottom