Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #4,761
Nina uhakika sio bima ni road licence na kapitisha mwaka mmoja tu ambao inaelekea ni 150,000/= + penalty ni 180, 000/=Wadau heshima mbele,
Kuna jamaa aliniuzia gari. juzi nimesimamishwa na trafiki na baada ya kuicheki kwenye system inaonekana inadaiwa takribani laki na themanini coz jamaa alikua anaendesha bila bima so kuna malimbikizo ya mabao mpaka kufikia TZS 180,000. Wazee wakazuia gari mpaka ilipwe ila baada ya kuwaelezea wakaniacha. sasa namtafuta jamaa alieniuzia huo 'MSALA' akawa hajibu na leo kanijibu jeuri sana. sasa sijui ni kwa sababu ni mtoto wa 'Kigogo' wizara ya mabo ya ndani ndio maana analeta dharau.
Nishaurini nifanye nini au niende wapi nipate Haki yangu sababu sysyem inaonesha yeye (Jina lake na leseni yake vinaonesha) ndio alikua anatumia gari bila Bima.
NB; sikua nafahamu jinsi ya kucheki kama gari inadaiwa so pls dont Kill me in this one.
Ushauri tu naomeni na sio Madongo.
Asante
Sp.
Shukuru Mungu hilo linatatuka kuliko kama ungeuziwa gari yenye kadi feki...