MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,303
Kwa ubora nadhani Isr ni nzuri kuliko ractis (sababu bado sijaitumia ractis) Ist inavumilia hali za barabara mbali mbali, (haina tofauti sana na model ya corolla ambayo ni allex)Hello jf members, kwa wenye uzoefu na magari naomba kujua ipi ni gari bora na nzuri kati ya Ist na Ractis zote ni toyota.. Ukijibu Toa na sababu ya jibu lako, thax
Lakini ractis, kuanzia body na kila kitu, imekaa kimayai - mayai sana, ni luxury mno nfio maana unaona Ist ni nyingi zaidi kushinda ractis!