Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hello jf members, kwa wenye uzoefu na magari naomba kujua ipi ni gari bora na nzuri kati ya Ist na Ractis zote ni toyota.. Ukijibu Toa na sababu ya jibu lako, thax
Kwa ubora nadhani Isr ni nzuri kuliko ractis (sababu bado sijaitumia ractis) Ist inavumilia hali za barabara mbali mbali, (haina tofauti sana na model ya corolla ambayo ni allex)


Lakini ractis, kuanzia body na kila kitu, imekaa kimayai - mayai sana, ni luxury mno nfio maana unaona Ist ni nyingi zaidi kushinda ractis!
 
Rav 4 J yangu tairi saizi ni 16....nataka kununua tairi jipya lenye rim nzuri lkn najiuliza kama naweza weka saizi 17 maana naona kama 16 ni ndogo na inaacha sehemu kubwa hadi shock up zinaonekana....Je inawezekana kuweka gari yenye tairi 17?
 
Hiii engine D4 Wakuu zikojeee mazeee maaanaa Nimepata gari Natakaa kununua Toyota mark ii grand IRS.... CC 2500
 

Attachments

  • 1466077145497.jpg
    1466077145497.jpg
    209.9 KB · Views: 152
inawezekana bosi!yangu ilikuja na rim size 17 sport from japan na ipo poa tuu
 

Attachments

  • IMG-20141016-WA0027.jpg
    IMG-20141016-WA0027.jpg
    23.1 KB · Views: 130
MKUU INATEGEMEANA NA AINA YA GARI kuna gari nyingine hasa zinazotumia umeme na maana hazitumii stering power ya hydrolic huwa zinazingua kidogo.hapa na maana EPS electronic power stering.
ukiiwasha huwa inawaka taa na usukani kuwa mgum some times mpaka uiflush na mashine au uifanyie calabration na mashine.

Lege nakuja kwako.. yamenikuta wallah.
 
Rav 4 yangu ina rangi ya kijani kama hiyo jeep hapo na imekuwa registered kwa rangi ya kijani....sasa ninataka kubandika sticker nyeusi kwenye bonnet na kwenye roof ....Je itanibidi niende tena TRA kufanya changes au rangi ya sticker haitambuliki
 

Attachments

  • 1466190626751.jpg
    1466190626751.jpg
    34.3 KB · Views: 166
Compressor ya ac ya gari imeua coil, clutch na bearing yake je hivi vitu vinaweza patikanika na nikafunga kwenye compressor ile ile na ikafanyakazi?
 
mkuu imataa kwa kuwa wataka engine ya toyota basi hapo funga ya 3s ya noa.usibadiri gearbox bali unafanyia modification bearhousing lake.mchezo umekwisha.
 
Wadau naweza swep injini gani ya Toyota kwenye pajero iliyokuwa na injini 6G74?
funga engine ya 3s mkuu hapo huna haja ya kubadili gear box unachokifanya nikufanyia modification ya belohousing tuu basi
 
ONLY 12MIL
 

Attachments

  • IMG_20160620_092155.jpg
    IMG_20160620_092155.jpg
    183.3 KB · Views: 119
  • IMG_20160620_092204.jpg
    IMG_20160620_092204.jpg
    190.9 KB · Views: 139
Rav 4 yangu ina rangi ya kijani kama hiyo jeep hapo na imekuwa registered kwa rangi ya kijani....sasa ninataka kubandika sticker nyeusi kwenye bonnet na kwenye roof ....Je itanibidi niende tena TRA kufanya changes au rangi ya sticker haitambuliki

Ni lazima uende TRA tena. Details za registration zitabadilika, pia bima nao watahitaji mabadiliko hayo
 
Wataalam wapi nitapata hii kitu hata used itafaa maana nimeshindwa ku install radio.
 

Attachments

  • singl din.PNG
    singl din.PNG
    18.9 KB · Views: 124
Wataalam wapi nitapata hii kitu hata used itafaa maana nimeshindwa ku install radio.
Tembelea kwa mafundi wanaofunga miziki ya magari mwenge kinondoni magomeni Ilala na kariakoo
 
Ujumbe kwa traffic wetu na kitengo cha usalama barabarani. ..jamani triangle ni moja tu sio mbili kama mnavyotaka na kwa asilimia 99 huwekwa nyuma kutoa tahadhari kwa anayekuja nyuma yako
Notification ya kutokuwa na triangle mbili ni uonevu na kutojua sheria
1466884694796.jpg
1466884699131.jpg
1466884705634.jpg
1466884711374.jpg
hawa wadau tunao humu...watufikishie salamu tafadhali
 
Ujumbe kwa traffic wetu na kitengo cha usalama barabarani. ..jamani triangle ni moja tu sio mbili kama mnavyotaka na kwa asilimia 99 huwekwa nyuma kutoa tahadhari kwa anayekuja nyuma yako
Notification ya kutokuwa na triangle mbili ni uonevu na kutojua sheria View attachment 360153View attachment 360154View attachment 360155View attachment 360156hawa wadau tunao humu...watufikishie salamu tafadhali

Kabisa ujumbe inabidi uwafikie. Hata unapoagiza gari Japan wanaleta Triangle moja tu.
 
Back
Top Bottom