Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau heshima mbele,
Kuna jamaa aliniuzia gari. juzi nimesimamishwa na trafiki na baada ya kuicheki kwenye system inaonekana inadaiwa takribani laki na themanini coz jamaa alikua anaendesha bila bima so kuna malimbikizo ya mabao mpaka kufikia TZS 180,000. Wazee wakazuia gari mpaka ilipwe ila baada ya kuwaelezea wakaniacha. sasa namtafuta jamaa alieniuzia huo 'MSALA' akawa hajibu na leo kanijibu jeuri sana. sasa sijui ni kwa sababu ni mtoto wa 'Kigogo' wizara ya mabo ya ndani ndio maana analeta dharau.
Nishaurini nifanye nini au niende wapi nipate Haki yangu sababu sysyem inaonesha yeye (Jina lake na leseni yake vinaonesha) ndio alikua anatumia gari bila Bima.

NB; sikua nafahamu jinsi ya kucheki kama gari inadaiwa so pls dont Kill me in this one.
Ushauri tu naomeni na sio Madongo.

Asante

Sp.
Nina uhakika sio bima ni road licence na kapitisha mwaka mmoja tu ambao inaelekea ni 150,000/= + penalty ni 180, 000/=
Shukuru Mungu hilo linatatuka kuliko kama ungeuziwa gari yenye kadi feki...
 
Nina uhakika sio bima ni road licence na kapitisha mwaka mmoja tu ambao inaelekea ni 150,000/= + penalty ni 180, 000/=
Shukuru Mungu hilo linatatuka kuliko kama ungeuziwa gari yenye kadi feki...
Ripoti ya vile vimashine vinasema kosa ni kuendesha bila insurence. rd lisence ipo ok.
 
Wakuu za asbh nna tatzo nimeditect kuhusu gar yangu nkiitumia kwanzia masaa mawili matat bila kuzima au safar ya mda huo nkija kuizima af kuiwasha inagoma hadi niiaxhe ipumzike kwa mda je inaweza kua tatzo ni nn na sltn yake
Ukitoka safari yako ya mbali.. Jaribu kutokuizima moja kwa moja, iache kwa muda kidogo, au tafuta betri nyingine mkuu
 
Oil kuingia kwenye turbo ya 1KZ imetembea 250,000 km ,tatizo ni nini na linashughuliwaje?
 
Kosa ingekuwa kuendesha gari bila bima halali. Ila huwa haiaccumulate so fain yake ni 30K tu. Hiyo ni road licence itakuwa hajalipa na faini yake apo. Wamekosea kuandika kosa kwenye system
 
Mmh hili ni jipya kwangu na hiyo insurance ni comprehensive au ni third party? Kwakuwa sijawahi ona comprehensive ya 180 kwa magari
Mshana labda ni notofication ya mashine kumbuka usipolipa kwa muda wake inakuwa na interest.
 
Inawezekana alikamatwa na kosa la kuendesha gari bila bima au rl akapewa notification ya elfu thelathini ambayo unatakiwa ulipe ndani ya siku saba ikipita ina accrue interest.
Yah hilo pia linawezekana ukiangalia apo.inagawanyika wa 30K
 
Ooh yeah ni sawa kabisa..nasikia utaratibu unaofuata wanachukua mpaka namba za simu usipolipa basi deni likiwa kubwa kwa kushirikiana na mtandao husika unakatwa pesa yako halafu unaletewa msg ya receipt
 
Mmh. ..tusaidiane kuna system unaweza access na kujua gharama za insurance. ..ila kwa road licence sawa
 
Mmh. ..tusaidiane kuna system unaweza access na kujua gharama za insurance. ..ila kwa road licence sawa
Hakuna ila kama ukikamatwa huna bima faini yake ni sh.30000 , kama huna hela ya kulipa unapewa siku Saba za kulipa lakini details zako Zikiwa tayari zimeshaingizwa kwenye system
Usipolipa lipa ndani ya muda husika hiyo faini itakuwa inaongezeka pamoja na riba....
Hicho ndio kilichotokea kwa jamaa
 
Wakuuu me nataka Toyota alteza namba c ...au D bei isizidii m7....
 
Gari yangu ya rav 4......jana nilikuwa naiona gari nzito nilipokuwa nakanyaga mafuta leo nimefungua kukagua Engine oil nimekuta ni chafu...nataka kujua bei ya Kubadilisha Engine oil estimation ili nikai drop service nikiwa najua kabisa bei.....Na pia nataka kujua ni kwa dharura kiasi gani unatakiwa kumwaga oil pale unapoona ni chafu....maana nilikuwa na safari moja ndo nipeleke service je nifanye hiyo safari au nikamwage oil kwanza
 
Well.....

Mosi, mara ya mwisho kubadili ilikuwa lini maana huwa zinabadilishwa baada ya km fulani 3000/5000 kutegrmrana na aina ya oil.

Pili kawaida huwa unatumia oil ya aina gani? Na unaweza kushare nasi uliionaje kwamba ni chafu? Maana yangu ni kwamba isije ikawa tatizo jingine ww ukadhani oil chafu.

Tatu, ni muhimu kabla ya safari kuhakikisha umefanya service au kuhakikisha kwamba gari iko imara katika nyanja zote..matairi, engine, body, vibali nk. Hivyo nakushauri uhakikishe yote hayo yako fresh.

Nne, bei zao oil.na service kwa ujumla.zinatofautiana ila.oil.nzuri ni za BP. Na ya lita tano inauzwa kwa sasa kama 55-60 kwa standard. Premium iko juu zaidi. Hapo kumbuka kuna oil filter na mazaga zaga mengine kulingana na uhitaji.

All the best
 
Hello jf members, kwa wenye uzoefu na magari naomba kujua ipi ni gari bora na nzuri kati ya Ist na Ractis zote ni toyota.. Ukijibu Toa na sababu ya jibu lako, thax
 
Back
Top Bottom