Kwa ubora nadhani Isr ni nzuri kuliko ractis (sababu bado sijaitumia ractis) Ist inavumilia hali za barabara mbali mbali, (haina tofauti sana na model ya corolla ambayo ni allex)Hello jf members, kwa wenye uzoefu na magari naomba kujua ipi ni gari bora na nzuri kati ya Ist na Ractis zote ni toyota.. Ukijibu Toa na sababu ya jibu lako, thax
inawezekana bosi!yangu ilikuja na rim size 17 sport from japan na ipo poa tuu
MKUU INATEGEMEANA NA AINA YA GARI kuna gari nyingine hasa zinazotumia umeme na maana hazitumii stering power ya hydrolic huwa zinazingua kidogo.hapa na maana EPS electronic power stering.
ukiiwasha huwa inawaka taa na usukani kuwa mgum some times mpaka uiflush na mashine au uifanyie calabration na mashine.
funga engine ya 3s mkuu hapo huna haja ya kubadili gear box unachokifanya nikufanyia modification ya belohousing tuu basiWadau naweza swep injini gani ya Toyota kwenye pajero iliyokuwa na injini 6G74?
Rav 4 yangu ina rangi ya kijani kama hiyo jeep hapo na imekuwa registered kwa rangi ya kijani....sasa ninataka kubandika sticker nyeusi kwenye bonnet na kwenye roof ....Je itanibidi niende tena TRA kufanya changes au rangi ya sticker haitambuliki
Ujumbe kwa traffic wetu na kitengo cha usalama barabarani. ..jamani triangle ni moja tu sio mbili kama mnavyotaka na kwa asilimia 99 huwekwa nyuma kutoa tahadhari kwa anayekuja nyuma yako
Notification ya kutokuwa na triangle mbili ni uonevu na kutojua sheria View attachment 360153View attachment 360154View attachment 360155View attachment 360156hawa wadau tunao humu...watufikishie salamu tafadhali