Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Maelezo mazuri kabisa
 
LEGE na wengine msaada kwenye pulley ya engine gari ni BMW model
 
Mkuu hembu nicall ipo hiyo au ngoja nicheki namba zako nakupigia.ishu kama hizi mkuu tywe tunachekiana hewani some times huwa mda wakuingia huku ni hafifu sana
Simu ilipata shida kubwa ndugu yangu ikafuta kila kitu gari iko grounded siku ya nne sasa
 
Kingine kwa GARI za auto over drive INA kuwa on kama ile taaa ikiwaka au ikiwa imezima kwenye dashboard
 
Hello, nna shida na check engine kwenye gari, inawaka mda wote hata ukiwa umewasha gari,
Mafundi walisema sensor wamebadili lakini bado, naambiwa tupeleke temeke kucheki kwenye computer Elf 50 checking tu! Ni sahii au napigwa?
Wenye ujuzi tatizo la check engine kuwaka hutokana na nini?

Gari ni Vits ya 1999
 
Ulishawahi kubadili timing belt? Check hill kwanza!
Kwa kawaida timing belt genuine hubadilishwa kila baada ya km laki moja na ikichoka warning yake ni hiyo check engine...
 
Njoo nayo mwenge mm nitakuchekia buree tatizo nitakwambia ila ukitaka nikulekebishie au kama utahitaji spea hapo tutakubaliana garama.
 
Njoo nayo mwenge mm nitakuchekia buree tatizo nitakwambia ila ukitaka nikulekebishie au kama utahitaji spea hapo tutakubaliana garama.
Pm mkuu,Thank you in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…