Zinazima baada ya hapo? Kama zinazima hiyo ni kawaida! Zinazobaki zikiwaka hilo ni tatizoWew jamaa nisaidie Gari yangu nikiwash system right zote zinawak kasoro taa ya check engine tatzo nn au n kawaida
Gar ni premio x -2005

Ni gari ya aina gani hiiNikiwasha gari inawaka taaa zote na kupotea kasoro taa ya check engine sijawah kuion kbsa tangu nmenunua gari
Mfano kwenye hiyo picha hapo taaziwake lakn hiyo ya check engine haiwak kbsaView attachment 2455789
Ni gari ya aina gani hii
Premio x -2005
I think VVTi sensor imekufa
Ni gari ya aina gani hii
Hakuna shida isipozima na kubadilika kuwa njano then nyekundu ndio kuna tatizoHabari za mchana wakuu, hivi Ile symbol ya Engine coolant temperature inapowaka huku ikiwa na rangi ya blue inaashiria Nini..Nikiwasha gari inajitokeza halaf inachelewa kuzimaView attachment 2473248
Hapatikani kabisa aisee check na huyu +255782073765Asante sana mkuu..Hivi Lege kapotelea wapi, namtafuta kwenye Ile namba simpati, au kama unamfaham fundi mwengine competent alieko dar es salaam, naomba niunganishe nae mkuu Mshana
Ulinunua kwa mtu? Kuna watu huwa wanaficha hizo warning labda baada ya kushindikana kutengeneza,Nikiwasha gari inawaka taaa zote na kupotea kasoro taa ya check engine sijawah kuion kbsa tangu nmenunua gari
Mfano kwenye hiyo picha hapo taaziwake lakn hiyo ya check engine haiwak kbsaView attachment 2455789