Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nakushauri badili engine.. Hiyo imechoka na mafundi wetu sio wazuri kwenye kubadili spares hasa za kwenye engine. Kuna mark muhimu sana huwa hawazizingatii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakubwa, nina bajeti ya sh 22milion, ninahitaji gari kati ya hizi naombeni ushauri ni gari gani itanifaa zaidi.

1. Toyota crown 182 g.

2.Toyota premio new model

3.Nissan Xtrail t31.

4.Mitsbish outlander.

Mahitaji yangu ni comfort,space, ngumu, gari yenye nguvu, economy and status.
Napokea any advice hata kama natakiwa kuongeza kidogo pesa nitavumilia ila lengo nahitaji kupata gari nzuri kati ya hizo, zote nazipenda sana sasa cjui nifunge ndoa na demu yupi kati ya hao, wajuzi wa mambo nipeni tabia zao ili nijue nani atakuwa wife material
 
Sikushauri uchukue nissan Xtrail

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chukua crown g package agiza mwenyewe
 
Habari za muda huu wakubwa
Samahani Naomba Majibu ya Maswali haya
1. Nimeagiza Gari toka Japan Meli imefika Ijumaa je ni kweli process za kuitoa bandarini pamoja na TRA haziwezi kufanyika weekendy ?
2. Naomba Kujua Mahesabu Sahihi ya Bima ya Gari hususani Comprehensive Insurance?

Nawasilishaa
 

Weekend serikali haifanyi kazi labda kwa dharura kubwa

Kuhusu bima itategemea na thamani ya gari na siku hizi bima zote zina viwango sawa. Mfano gari ya 20M bima yake haipungui 1M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa anayehitaji Door light projector ninauza 25k tu kwa milango miwili ie. dereva na passenger zipo (Toyota, Subaru, Mazda, Nissan, Ford, Benz, Bmw, Hyundai)...
Nipo Sinza.. npigie 0693225605 ... sorry kama sio sehemu sahihi ndugu admin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…