Mshana naomba kujua hii gari inaitwa Mazda primcy niimara vipuri na economy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana naomba kujua hii gari inaitwa Mazda primcy niimara vipuri na economy
Unatakiwa kufanyia service gari yote hata fuel pump ni ya kucheki piaGari ni suzuki escudo automatic transmission gari hii niliisimamisha mwaka mzima kwa tatizo la gear zilikuwa zinaslip hivi karibuni nilitaka nilifufue gari hili na kabla ya kufungua gearbox nilikuta coil moja imekufa pia fuel pump ilikuwa imekufa baada ya kufanya replacement ya vitu hivyo gari liliwaka na nimejaribu kulitembeza nimekuta tatizo la gia kuslip halipo limejisahihisha bila ya matengenezo ila kuna tatizo jipya limejitokeza nikiliendesha kama kilomita mbili dashboard inaandika check engine na mshale wa rpm unacheza na kisha gari linazima ukikaa kama dakika moja ukiliwasha linawaka lakini ukitembea kidogo hali ya gari kuzima inajirudia tena Wataalamu sijui shida ni nini?ni control box au ni mfumo tu wa wiring?Msaada tafadhali
Asante kwa ushauri vitu gani hasa vya kufanya serviceUnatakiwa kufanyia service gari yote hata fuel pump ni ya kucheki pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia yote ya mfumo wa umemeAsante kwa ushauri vitu gani hasa vya kufanya service
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuendelea na shughuli zako ama kushangaa magari yakipita kama huna la kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh 1lt km 3![emoji23][emoji23]Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hasa ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu. Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
NdioDuuh 1lt km 3![emoji23][emoji23]
Nacheka kama mazuri..pole mkuu
ulinunua kwa mtu?
Yes.Duuh 1lt km 3![emoji23][emoji23]
Nacheka kama mazuri..pole mkuu
ulinunua kwa mtu?
Mshana JrNaombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hasa ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu. Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
Ni oil bora sana iliyoongezewa thamani ya viwatilifu vyote muhimuHabari,je kuna utofauti wa uwezo wa oil,baina ya Castro 5w-30 na Total 5w-30,kwanini Castrol ina gharama?
Ahsante,mzee MshanaNi oil bora sana iliyoongezewa thamani ya viwatilifu vyote muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi pata tatizo kama Hilo tukaja kuta ni can sensor imekufa, kubadilisha tu gari mpya.Gari ni suzuki escudo automatic transmission gari hii niliisimamisha mwaka mzima kwa tatizo la gear zilikuwa zinaslip hivi karibuni nilitaka nilifufue gari hili na kabla ya kufungua gearbox nilikuta coil moja imekufa pia fuel pump ilikuwa imekufa baada ya kufanya replacement ya vitu hivyo gari liliwaka na nimejaribu kulitembeza nimekuta tatizo la gia kuslip halipo limejisahihisha bila ya matengenezo ila kuna tatizo jipya limejitokeza nikiliendesha kama kilomita mbili dashboard inaandika check engine na mshale wa rpm unacheza na kisha gari linazima ukikaa kama dakika moja ukiliwasha linawaka lakini ukitembea kidogo hali ya gari kuzima inajirudia tena Wataalamu sijui shida ni nini?ni control box au ni mfumo tu wa wiring?Msaada tafadhali