Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #6,721
Nakushauri badili engine.. Hiyo imechoka na mafundi wetu sio wazuri kwenye kubadili spares hasa za kwenye engine. Kuna mark muhimu sana huwa hawazizingatii kabisaMzee mimi nina shida nina gari aina ya toyota corsa ile ndogo; tumefunga valve seal na piston rings mpya. Baada ya kufunga hivyo vitu, engine imekuwa na mngurumo mzito utafikiri trekta.
Nimebadilisha plugs, nimeosha MAFS, wamerekebisha sailensa lakini wapi
Nimelipeleka veta wakafanya diagnosis lakini wanasema hakuna shida
Hebu mzee nisaidie nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app