Asante sana Kaizer, basi mimi nampango wa kununua SUZUKI KEI zenye cc650 hope ni better than hiyo ist.
Alafu kwani magari nayo yana gender?
Mkuu Lusungo hahaha nikikukuta na IST hata sikusalimu. Laizer hapo juu kasema ni vya wasichana angalia sana ubahili wako, alafu hiyo gari haiwez panda ille milima ya mpunguso, na ndizi utapakia wapi sasa?
JUst joking

Mkuu ahsante kwa jukwaa hili.
Mkuu RAUM new model nilikuwa natembea nayo 14 km kwa lita kabla watoto wa mbwa hawajanitenda.
Tangu nimeirudisha ten road ni km mwezi mmoja, ndio nashtuka kuwa fuel consumption ipo juu, sasa hivi natembea 8 km kwa lita.
Msaada kujua tatizo!
Imepasuka kabisa au ina leakage? Ni muhimu oil kuwa katika kiwango chake muda wote
Na ni hatari zaidi kama gari haina indicator warning ya oil
Ok wakuu kwenye dash bord huwa inaonesha kama ina low oil so mpaka sahv bado haijaonesha ila niliichomelea lakini huwa kuna vidoti kama mwezi hivi naweka nusu rita,pia nilitoka mwanza nilifanya service ya km 5000 nikafika dar nikatembea km 200 na nikaenda tana so naweza kubadilisha oil tena au mpaka ni fanya service mpya thor km 500 bado?

Ulifanya service hivi karibuni na ukabadili plugs?
Mshana. Jr na wadau wengine
Gari yangu imegongwa na Daladala wote tuna third part insurance nini cha kufanya maana huu ni mwezi wa pili jalada la kesi liko kwa police mpelelezi. Na police huwa wanapeleleza nini ikiwa tukio limesha ripotiwa police? Mambo je kuna muda maalum wa police kukaa na shauri la aina hii?