Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #741
Asante sana Kaizer, basi mimi nampango wa kununua SUZUKI KEI zenye cc650 hope ni better than hiyo ist.
Alafu kwani magari nayo yana gender?
Mkuu Lusungo hahaha nikikukuta na IST hata sikusalimu. Laizer hapo juu kasema ni vya wasichana angalia sana ubahili wako, alafu hiyo gari haiwez panda ille milima ya mpunguso, na ndizi utapakia wapi sasa?
JUst joking
Hahahahaaaa huu utani huu Jerry BTW nijuavyo mimi kina dada hupendelea vitu vidogovidogo na sisi ndio kama vile VX nk LAKINI sitakubali na sitamshauri mwanaume mwenzangu anunue gari lenye rangi ya PINK never! Hiyo rangi automatically ni ya mama na dada zetu