Fanya service ya uhakika chapa mwendo wa wastani utakapoona unechoka pumzika!
hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!
hivi hizi vitz cc zake ni ngapi? niliwahi kusikia jinsi cc inavyokuwa ndogo ndipo na gari inachoka mapema especially kwa safari ndefu bila kupumzika, hii ni kweli?!
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri
ku drive manual transmission naweza ku down shift kutoka 4 hadi moja?
then what happens kama una shift gear bila ku press cratch?
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri
ABS (automatic breaking system), hii maana yake ni kwamba unapofunga break inabidi tyre zote zifunge break proportional kuepuka gari kupinduka, ukiona imewaka basi kuna matatizo. ni vizuri umpelekee fundi kwa uchunguzi zaidi.
Naomba msaada taa ya engine inawaka nimeshauriwa nikafanye diagnosis nimekwenda wanasema hawaoni tatizo wakaizima nimetoka hapo garage sijafika mbali ikawaka nikarudi wakazima kuondoka ikawaka nikaachana nao, naomba sasa mnipe maelekezo nipeleke wapi kuna wataalamu watanisaidia vizuri
Ipeleke gerage
Tanzanite klmVW polo za Kisouth ndio nina uzoefu nazo ni nzuri ni ngumu na zinahimili misukosuko mingi japo hapa Tanzania si gari maarufu
sina namna nitanunua ila nisipopata dharura na yenyewe itaoza tena bila kutumika!!!!!!
Tanzanite klm
Inakulaje mafuta wakati cc ni 1400
mshana jr
Spear parts zinapatikana gerezani na Ilala?
Ukilinganisha VW Polo na Raum new model ipi una recommend?
Mungu wangu WAKAIZIMA mara tatu? shukuru Mungu hawakuizima kabisa! Kama gari imefanyiwa diagnosis na hakuna shida hiyo ni warning indicator ya Timing belt inakaribia au kuhitaji kubadilishwa
ina maana wewe hicho chombo chako hakitembei au?manake kama hujaigusa spare tairi kwa miaka minne basi hizo tairi zako ni noma ntajie kampuni nikazitafute
JERRYmsigwa nafikiri bado lengo ni lilelile kuelimishana, kupeana maarifa, uzoefu, elimu na ujuzi binafsi kuna vingi nimejifunza kupitia hili jukwaaMkuu hapana si kweli ABS ni Antlocking bracking system inasaidia tairi isi-skid (ni mfumo wa brake za tair za ndege) ili hata ukifunga brake kwa ghafla tairi isiende pasipo mzunguko.
JERRYmsigwa nafikiri bado lengo ni lilelile kuelimishana, kupeana maarifa, uzoefu, elimu na ujuzi binafsi kuna vingi nimejifunza kupitia hili jukwaa