Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari za jumatatu wanajamvi, Napenda kufahamu juu ya hayo magari ubora, spares na availability ya mafundi msna i want to to make a move sasa. Nashukuru
 
Suzuki is cheaper than BMW in terms of maintenance sasa angalia mfuko wako then fanya maamuzi.
 
Habari za jumatatu wanajamvi, Napenda kufahamu juu ya hayo magari ubora, spares na availability ya mafundi msna i want to to make a move sasa. NashukuruView attachment 239093View attachment 239094

mkuu....unafafaninisha vitu ambavyo viko class tofauti.
yaani kifupi unataka kufananisha SUZUKI na BMW, haviwezi kufananishwa.

ungesema VITARA VS RAV4 VS XTRAIL ingekuwa sawa AU X3 VS TIGUAN VS Q5 VS FREELANDER hapo sawa.
X3 IS EXPENSIVE THAN VITARA IN ANY WAY....kama unaangalia gharama,mafundi,upatikanaji wa spares achana na BMW....otherwise kama hivyo vitu nilivyotaja hapo sio issue na unataka ULTIMATE DRIVING MACHINE chukua BMW.
 
Naomba mnijuze hivi kuna utofauti hasa fuel consumption kati ya engine ambayo ni D4 VVTi na VVTi isiyo D4 ikiwa zote ni 2362cc kwenye similar platform? Shukrani.
 
Jamani wanajamvi naomba kujua mambo ya msingi ya kuangalia ili kujua kama gari ni nzima au kimeo kwani nahitaji kununua na kuuza used cars...Asanteni sana kwa ushirikiano!
 
N'yadikwa, Kaizer na wale wenye ujuzi na haya tafadhali msaada
 
Last edited by a moderator:
Akitokea anetaka ushauri wa vi baby-walker niambieni, hiyo midude yenu sijui BMW mara Audi endesheni wenyewe :tinfoil3:
 
Hayo ni class tofauti za magari.....ukiweza maintenance bus the classic one is BMW X3
 
Naomba mnijuze hivi kuna utofauti hasa fuel consumption kati ya engine ambayo ni D4 VVTi na VVTi isiyo D4 ikiwa zote ni 2362cc kwenye similar platform? Shukrani.

Mimi nachojua D4 ni aina ya injini. Hiyo ya VVTi isiyo D4 ni aina gani mkuu?kwa vile zote zima CC sawa basi ulaji wa mafutanhautatofautiana sana all factors remaining constant.
 
Kaka habari…. Naomba msaada wa ushauri… kuna prado (121)nimebadilisha mfumo kutoka air suspension (booster) kuja spring suspension (cool) lakini toka nibadili uo mfumo ukitembea na gari speed 60-80 gari ina tetemeka mpaka unaiogopa inabidi nipunguze mwendo… nimebadili tairi zote nimefanya wheel balance pamoja na wheel alaiment lakini bado… NAOMBA UNISAIDIE MKUU
 
Wakuu samahani,kuna jamaa anataka kuniuzia glanza V naomba msaada wenu katika uimara wa gari,upatikanaji wa spear na hata ulaji wa mafuta!
 
Hiyo ni modification ambayo imekataa na kuna uwezekano mkubwa kabisa hakuna proportional kwenye hizo suspension za coil kama hakuna shida rudisha katika mfumo wake wa kale au tafuta fundi qualified wa hizo modifications akushauri cha kufanya

NB: pata fundi toka Toyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…