Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jumatatu wanajamvi, Napenda kufahamu juu ya hayo magari ubora, spares na availability ya mafundi msna i want to to make a move sasa. NashukuruView attachment 239095View attachment 239096
Habari za jumatatu wanajamvi, Napenda kufahamu juu ya hayo magari ubora, spares na availability ya mafundi msna i want to to make a move sasa. NashukuruView attachment 239093View attachment 239094
Naomba mnijuze hivi kuna utofauti hasa fuel consumption kati ya engine ambayo ni D4 VVTi na VVTi isiyo D4 ikiwa zote ni 2362cc kwenye similar platform? Shukrani.
N'yadikwa, Kaizer na wale wenye ujuzi na haya tafadhali msaadaJamani wanajamvi naomba kujua mambo ya msingi ya kuangalia ili kujua kama gari ni nzima au kimeo kwani nahitaji kununua na kuuza used cars...Asanteni sana kwa ushirikiano!
Naomba mnijuze hivi kuna utofauti hasa fuel consumption kati ya engine ambayo ni D4 VVTi na VVTi isiyo D4 ikiwa zote ni 2362cc kwenye similar platform? Shukrani.
Kaka habari . Naomba msaada wa ushauri kuna prado (121)nimebadilisha mfumo kutoka air suspension (booster) kuja spring suspension (cool) lakini toka nibadili uo mfumo ukitembea na gari speed 60-80 gari ina tetemeka mpaka unaiogopa inabidi nipunguze mwendo nimebadili tairi zote nimefanya wheel balance pamoja na wheel alaiment lakini bado NAOMBA UNISAIDIE MKUU