Ndugu Mshana pole na majukumu,kuna mtu anataka kuniuzia toyota corona,kwa uzoefu wako naomba unijuze kama ni gari nzur yenye ulaji mzur wa mafuta na vp kuhusu upatikanaji wa vipuri
Ndugu Mshana pole na majukumu,kuna mtu anataka kuniuzia toyota corona,kwa uzoefu wako naomba unijuze kama ni gari nzur yenye ulaji mzur wa mafuta na vp kuhusu upatikanaji wa vipuri
We kweli nyadikwa mkuu...maana yake mbegu kwa lugha ya mama yangu mzazi.....na sifa ya mbegu lazima ipandwe na kuzaa HAHAHAH NTAKU-PM MKUU
Hili jina alinipa rafiki yangu mnyalu enzi hizo niko high skul MET Mafinga pale
Mkuu Nenda Toyota watafute wale mafundi wapo vizuri sana kwenye hizo Cruiser unaongea nao watakufanyia kwenye karakana zao,ukishindwa Nenda keko garage pia wanazielewa vizuri sana cruiser
Halafu hilo haliuziki??? Pole sana mkuu